[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]ila pe aji 😆😆
2026-09-05 02:12:15
0
KhadijaIrene :
mnacheka kama content lakini hiyo roho aliyojinenea mtoto naiogopa sana,sasa hivi kwa watoto kujiua kwa sababu za kipuuzi imekuwa kawaida sana....muikemee
2026-09-05 05:14:59
21
IT’S PRECIOUS 🔐🎀🌹❣️ :
Last born mimi kbsa 🤣🤣🤣🤣
2026-09-05 03:51:06
0
Elizabeth Frank :
sema dog kamnikumbusha mbali zamani nilikua nikiogeshwa nalia niuweni mmenichoka maji ya bidi siyatak kwani nikilalal bila kuoga ntakufa mh🤣🤣
2026-09-04 19:45:51
17
mawende :
kitu nilichongundua ni kwamba "tungekuwa tunarekodi kila maisha ya mtanzania , hii nchi ni CHEKA TU sema hatujagundua"
2026-09-04 17:39:38
10
RV :
kuwen nae makini ipo siku itakua
2026-09-05 03:56:08
10
dj ferouz :
ila wahehe
2026-09-05 05:34:22
3
❤️🔥shaa msomaly❤️🔥🫦 :
not funny
2026-09-05 05:52:59
2
anethmanory :
mung amsaidie kwakwer jaman
2026-09-04 16:46:01
18
Princess Happy 💋💞 :
🤣🤣🤣🤣 nachoka mm
2026-09-03 08:12:12
0
Mrs Rd 🔐🦋🥰 :
😂😂😂 nachok mie
2026-09-04 13:39:16
0
dear father :
kuwen nae makini hilo pepo huwa halimuachi mtu salama
2026-09-05 04:58:26
2
lyangala jr :
sio mhehe huyu 😁😁
2026-09-04 22:29:18
0
fransisc Kanyengule :
Kama siyo mtoto wako au wa ndugu Yako anachekesha lakin akiwawanao inauma
2026-09-04 15:24:25
8
somebodyOG😜 :
Mm uyo enzi zangu😂😂😂😂
2026-09-04 18:24:25
1
Mom Ammar 💝💝 :
sasa mwanangu kisa kuoga ndio unataka kujitoa uhai 😂😂😂😂
2026-09-05 03:15:30
0
Caroline 🤍 :
Mnachukulia masiara ila atakuja kuwashanga..Mungu tu amuepushe
2026-09-05 00:25:09
1
❤️🔥☆fïn̈ě_ĝìŕĺ☆ :
Kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake😂😂😂
2026-09-05 05:21:20
1
kenforden :
usikute hapendi shule
2026-09-05 05:00:26
0
Domina Silingi :
mi nilisha kologa unga wa betri ili nijiue mama akaniambia kabla hujafa nenda mtoni uniletee maji dum tatu 😂😂😂😂😂nilisomba trip zote nalia Kila ninayekutana nae ananiuliza umekuwaje😂😂😂
2026-09-05 04:50:10
2
simfukwe JR :
dogo ametisha🤣
2026-09-04 14:00:19
2
To see more videos from user @fesito.trayphone0, please go to the Tikwm
homepage.