@its_mtana: Sina cha kuandika najikuta naishiwa maneno🥹😒 but Alhamdulilah hil limepita ten kwa ukubwa, viwango na ubora wa hali ya juu🙏❤️ Jiwekeeeni misingi ya kusikilizana, kuelewana , kukosoana na kuaminiana mtafika pale mnapopataka inshaAllah ❤️🙏 @RAJAI FOUNDATION @RAJAI FOUNDATION Allah awape kila la kheir 🙏@Eden recep kama hujaoa uje uoe HGT 😂😂👍@Ms ~Mtana8 @SALMIN BEY💫 @sautulqalby