@daniel.karume1: Ujumbe wa Leo: Usiruhusu hofu ya kesho ikutawale leo. Mungu anayajua mahitaji yako yote kabla hata hujamwomba. Endelea kumtumaini, kwa sababu wewe ni wa thamani mbele zake. Neno la kukutia moyo: Usisumbuke. Mungu anajua unachohitaji, na kwa wakati wake atakutendea. 🙏 Sala: Baba yangu wa mbinguni, nisaidie nisihofu kuhusu mahitaji yangu. Nipe moyo wa kukutegemea na kuamini kwamba unanijua na unanijali. Amina. #fyppppppppppppppppppppppp #tanzaniatiktok #viral #gospel