ilishawahi kunitokea na mpaka saivi sikutaka ata wajue ninapoishi tena
2026-09-01 18:43:21
7
Mamuya :
mie nilifiwa na mtoto wangu wa kwanza sikuwaona ndugu zangu kabisa
2026-09-01 20:24:19
1
pili :
daah mpaka kinena kimenicheza
2026-09-01 10:19:13
3
user9888828538616 :
usiseme baba me niliumwa nikapelekwa thieta haki mume wang hakuja had narud nyumban na nard hm ananimbia nimeogp tu embu imagn naish nae had leo naomb tu kuulz mume ninae kwel au ndo napotez muda
2026-09-01 19:31:32
2
ma G :
nimejifungua mara mbili mama mzazi hakuja kuniona hospital mpaka nyumbani
2026-09-01 20:01:52
1
Asunta Abel :
ndugu zangu ni wale wanao nipenda na kunifuata
2026-09-01 18:16:25
4
love ❤️🖤💛 :
mim nasamin san lafik kulik ndug 🥰🥰
2026-09-01 11:32:42
1
My :
😥 na tupo tunaojitoa sana kwa ndg lakini hatukumbukwi 😥😥😥
2026-09-01 12:00:45
1
Salum Mzava :
waliokuja kukuona ila mimi namshukuru mungu kuzaliwa inatosha ni neema kubwa
2026-09-01 18:53:22
1
ken :
Mimi nilipata ajali mwaka jana mwezi wa tano nikavunjika mguu wa kulia,wale waliokuja ni mama mkwe, mke wangu na landlady wangu tuu, ndugu nadadangu hawakuja nina mwaka sasa na miezi tatu hadi nimerudi kijijini kwakushindwa kulipa kodi, na ndugu na dada hawashuguliki, nawaona wakiwa maadui.
2026-09-01 10:04:12
0
user9571195078468 :
ndugu zangu ni wale wao kuja kuniona hospital
2026-09-01 11:28:06
1
Master 🇦🇪🇧🇮 :
Wa kwanza mimi apa leo 😌Last born wa IPM😇💫🇧🇮🇦🇪
2026-09-01 08:46:33
3
ingénieur Daniel :
baba mimi ni maskini naita unisaidie nisaidie familia yangu
2026-09-01 08:48:46
2
Sadiki mhina sadiki :
ipm mishazoeq kaka iyo ali
2026-09-01 11:05:18
1
shaban :
mimi bora unipe mchongo wa hela wewe ni familia
2026-09-01 21:05:04
0
ERASMI JACOB :
Amina baba ipm
2026-09-01 10:53:39
0
Fr belly beya :
vibaya sana kweli Mzee
2026-09-01 08:55:45
5
theophily :
acha lawama wapo kazin
2026-09-01 15:45:49
0
Athuman Nkubiye :
ndugu zangu ni watoto na pesa
2026-09-01 21:56:54
0
sandu G cosmetics 💄 :
hiyo kawaida
2026-09-01 22:07:17
0
akym :
hunamausiano na familly
2026-09-01 22:12:35
0
Asha Juma :
ndugu zangu niwale ninao kuwa nao kwenye Magumu.hao ndiyo ndugu zangu.
2026-09-01 21:49:58
0
DON🇰🇪 :
Mentor🙏
2026-09-01 08:42:36
0
To see more videos from user @prophetipm, please go to the Tikwm
homepage.