@nijuzenews: Bilionea wa Marekani anaweza kuuza kisiwa cha Lupita kilichopo Tanzania? Ukweli utakaokushtua Subscribe kwenye YouTube Channel yetu kwa habari motomoto>>> https://www.youtube.com/@NijuzeNews Subscribe kwenye WhatsApp Channel yetu>>> https://whatsapp.com/channel/0029Vb6s4M91NCrctJX2YG2u
huu uhuni kabisaa tumeshindwa kuwapa hata akina Bakhresa?
2026-09-01 10:30:03
0
Black :
Wameshauza
2026-09-01 10:25:39
0
Seif Hamad :
ndio anauza ni vizuri kwani inategemea na lease alio nayo
2026-09-01 10:46:10
0
mango :
mimi nashauri jaman ile mikataba ya siri isiwepo tena jaman khaaaaaa
2026-09-01 09:56:45
0
Prince Sade :
Nashauri viongozi wanaosimamia hili suala wajiulize wenyewe kwanza unaweza kuta Mmojawao amempa hati na akapata hela yake ndiyo maaana Bilionea ana ujasiri wa kutangaza kuuza mali yetu Watanzania.
2026-09-01 09:32:07
0
Mwasiti Hussen :
Auzeee tu simwekezaji ana haki kuliko wananchi
2026-09-01 11:03:56
0
HABIB HASSAN :
KIKO ZIWA TANGANYIKA UPANDE WA KONGO AU ZAMBIA AU TANZANIA ?
2026-09-01 09:40:12
0
Genghis Khan :
nchi ishauzwa hii
2026-09-01 09:55:56
0
Samwel Kavishe :
Ashaanza kukimbia kaona atakuja kukiacha bila sent
2026-09-01 09:36:58
1
JAHANGIRsMIRZA💥 :
Ukiona haieleweki wazee wameshakula Marekani inakua sababu tu . Usifatilie utapoea . 😂😂😂
2026-09-01 10:48:54
0
mrswaggar :
mshauza saivi mna jitia kimbelembele
2026-09-01 10:24:13
0
masounyombe :
mhusika tutamjua tu sababu atashiriki kwa staili yoyote ile
2026-09-01 09:24:42
0
To see more videos from user @nijuzenews, please go to the Tikwm
homepage.