@siasatz: Mbunge wa Mtambwe, Zanzibar Mhe. Rashid Habib Ali Rashid ameiuliza Serikali ina mpango gani wa kuondoa suala la Mafuta na Gesi kwenye orodha ya Masuala ya Muungano, amejibiwa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa kuwa serikali zote mbili zimeafikiana kuondoa jambo la rasilimali ya mafuta na gesi kwenye masuala ya Muungano hivyo Tanzania Bara itaendesha tafiti na kuratibu mambo yake yenyewe ikiwemo tafiti za kutafuta nishati hiyo lakini pia kwa Zanzibar itakuwa hivyo. #SiasaTZ #SiasaZetu #TheShepherd30
Maslahi ya Tanzania bara yanasimamiwa na serikali ipi?
2026-09-01 11:46:33
4
Brother Fidelis :
Kama wanaliondoa suala la gas na mafuta kwenye muungano; iweje Zanzibar waombe mgao kutoka Tanganyika?
2026-09-01 10:26:21
7
Sunrise :
najisikia vibaya nikisikia zanzibar lakini husikii tanganyika eti wanasema Tanzania bara bara which
2026-09-01 10:07:13
5
yeye_eh :
Kabla halijaondolewa, Zanzibar ilinufaika vipi na gesi asilia?
2026-09-01 09:57:41
2
Dee Pablo621 :
@Dee Pablo621: Mngeliondoa na swala la mzanzibar kuja huku kuwa na leseni ndogo ya uchimbaji maana hapo wao wameepuka sisi Tanganyika tusiwe kwenye mgao wa mafuta kwakuwa wao wameshagundua kuwa naviashilia vya mafuta
bila kubadilishwa katiba ya tanganyika itakua ndo yale yale
2026-09-01 09:43:16
1
Ahmed salim hijab💕 :
tatizo tanzaniabara jambo likishatiwa kwenye mungano wanasahau kama kuna zanzibar asilimia zote wanazichukuwa
2026-09-01 12:15:05
0
muhsin wahida hussein :
😁😁😁😁hayo mafuta hata walionayo huko hawana manufaa nao. itakua hata hayo mafuta hayajaonekana
2026-09-01 11:29:16
0
MR.X :
Dhahabu ikiuzwa ni Tanzania si Tanganyika?Bajeti ikisomwa ni Tanzania bajeti ya Tanganyika ipo wapi?
2026-09-01 12:48:18
0
mwangoya :
Zanzibar nachukia
2026-09-01 10:40:42
0
khajarmasoud :
serikali ya tanganyika iko wapi? na raisi wa tanganyika ni nani? kwa mimi siioni tanganyika kabisa naona serikali jamhuri ya muungano na na serikali ya Zanzibar tu. kiufup tangayika siioni popote
2026-09-01 11:53:46
0
user79051109709373 :
Hata bandarini iyondoswe kwenye muungano watuache bandari yetu tunufaishe wazanzibar
2026-09-01 13:11:39
0
Doc :
Mbona!
Tunaongeza mpasuko!
1964, tulisema tuanze na Serikali mbili kuelekea MOJA.
Badala ya kuunganisha idara na taasisi, tunazitenganisha!!
Munaongeza kero; zilikuwa zimebaki mbili.
2026-09-01 11:50:16
0
Just-In-E🌍 :
Serikali ya Zanzibar na Serikali ya muungano wa Tanzania. Mbona sielewi🤔
2026-09-01 11:23:02
0
user1161158833580 :
Kila siku swal hilo linatolewa majibu
2026-09-01 09:43:03
1
BIN HAMDOUN :
kwani serikali ya jamhuri ya muungano znz haimo? mbona sielewi wakuu
serikali ya zanzibar ni ipi na serikali ya jamhuri ni ipi?
2026-09-01 11:46:04
1
Brother Fidelis :
mbona sisi wananchi hatuna hizo taarifa? Ni lini tuliombwa maoni yetu kuhusu suala Hili nyeti kuondolewa kwenye muungano?
2026-09-01 10:24:54
2
Dr osd :
mm naona swali halija jibiwa 🤣
2026-09-01 17:47:27
0
BAHARI FISH POINT ZANZIBAR :
Baas Kwisha kabisa 💯❤️🥰
2026-09-01 13:27:10
1
solano :
Nchi ngumu hiii wao Tanzania bara washachimba ges tayr wanayo nainatumika bara bila Zanzibar kupta chochote Ila wanasema ges na petroleum wana force view vya mungano? Sis is Zanzibar Tupo kwny reaching hata hayajachimbwa tumeka barazalawakilishi na tukaridhia litolew kwny mungano Mbaki na ges yenu ambayo tayr ipo ss tukinaza kuchimba lisiwe la mungano liwe letu tu Zanzibar Ila majibu Yao sasa wanaziguka sana ohh tunaogea tutakubaliana tushaogea tutaogea why mnaogopa kitu ambacho hata hatujakichimba
2026-09-01 15:01:36
0
Sureboy Nassir :
na hio Gas asilia haijatunufaisha na chochote huku zanzibar
2026-09-01 14:41:14
0
gadafi :
Hiyo bado hasaidia tunataka tunataka zanzibar yenye mamlaka kamili tume huru ya ucjaguzi sio raisi wakichaguliwa dodoma free zanzibar
2026-09-01 16:05:55
0
bajaji_point :
Hivi mapato yote ya Zanzibar yanaletwa uku kwanza Tz bara yajumuishe na ya uku then ndio waanze kugawa bajeti? Kama hapana tungebaki na muungano wa kijeshi tuu ili tusiwe na mikanganyiko kama hii
2026-09-01 13:44:46
0
Capt.Abdul Ngozi :
good
2026-09-01 09:35:06
0
To see more videos from user @siasatz, please go to the Tikwm
homepage.