@oneclearmission: Rais wetu amefika mahali Hana huruma na wananchi. ufisadi umezidi na unafanywa na watu wake ,bila yeye kufanya kitu...kwahivyo ni ONETUM #oneclearmission #batuli4kisauni2027 #kenyamuatchange#orengoforpresident2027
Uhuru ni dynasty Mimi ni mkikuyu sio dynasty Ruto ni dynasty, ordinary kalegin si dynasty. We are saying one term to constitutionalise our country.
2026-09-02 05:17:45
10
Cassian💫 :
The reason time ya uhuru hakukuwa maandamano ni, ruto alianza campaigns mapema, during campaign he over promised and specifically said he will get the money back. People didn’t consider alikuwa involved na anaweza endeleza, thus what we have now!!!!
2026-09-02 03:14:59
3
Ben Muthaiti :
umesahau NYS Scandal. The problem with Ruto government is education, health and security.
2026-09-01 19:44:06
2
user9481860906184 :
mimi nili trust Ruto atawafunga...Ruto promised us heaven a place without corruption and i voted for him to clear that mess...juu ni hustler mwenzetu now guys show us the way i think Sifuna will help us...round hii☺️☺️☺️
2026-09-01 20:58:52
3
Monica jnr💜💜💜💜 :
kindly say serikali ya uhuru-ruto,Ruto was part of that regime,,
2026-09-02 08:46:49
4
Angatia wa Angatia. :
You deserve leadership, ride on.
2026-09-01 11:32:11
3
Sir Jay :
it not about community but individual,mtu abebe mzigo wake
2026-09-02 10:11:37
1
JUMA KEVIN :
kuhamisha vitu kutoka state house hadi sugoi ni pesa ngapi
2026-09-02 11:15:45
1
Mistikly the Kenyan :
Wote ni wezi dada wanafaa kwenda jela
2026-09-01 09:05:34
6
DETACH ATTACHMENTS :
2026-09-01 19:40:16
3
waupe :
ruto kapitiliza ufosadi zaid
2026-09-01 10:57:28
3
class prefect 👣 :
hii story inatia uchungu mama🙆wantam
2026-09-01 19:09:54
2
user9587043294361 :
kugoms ni wafanyi KAZI wamenyimwa mishahara
2026-09-01 15:56:55
1
Mikshela mali :
Uhuru & Ruto wanafaa kufungwa jela .Ni wafisadi wakubwa nchini.
2026-09-03 11:47:48
3
Let's go to the Farm :
my sis nakuheshimu
2026-09-01 18:10:40
1
priscillahritah :
Hawa watu wote watoke tuanze fresh from top
2026-09-02 10:08:36
2
user5528706262478 :
hiyo siku mkianza kuwatia jela ndio corruption itaisha
2026-09-01 22:21:45
1
Ashay Amir :
Kweli dada 💯
2026-09-01 11:55:59
1
3033049 :
hii migomo yote yenye iko ni juu pesa haicirculate kuna jamaa alisema kwa nyumba kunawezapotea 10k lakini hutaskia kelele kama watu wameshiba fanya mistake tu 100 ipotee kwa nyumbani na watu hawajakula utaskia kelele kila mahali sasa ndio hii ya ruto pesa instead aifanye i circulate apa kenya yeye ni kupora kuenda kuinvest kwengine ndio hizi kelele hazitaisha hadi 2027 Wantam
2026-09-01 11:45:36
2
Christopher Kibue :
That is why we want Hon. KALONZO MUSYOKA for President in the year 2027. He is fairly clean.
2026-09-04 02:50:25
1
weru6057kdg :
The country had a very good chance for a reset in 2013. We refused to and entrenched lawlessness. We are reaping the fruits now.
2026-09-02 04:35:02
2
Ba'juniour H. ba'junior :
Wote tu ni wezi no one between uhuruto should have become president
2026-09-02 11:54:32
1
Hassan Bamatraf :
Hii ni kweli ama ni continental?
2026-09-02 02:40:47
1
vini :
uhuru na ruto both were in the same government, deputy vice president was ruto,
2026-09-01 20:49:20
1
Fredgithui :
I really love your views. Keep it up. 🥰🥰🥰
2026-09-01 09:04:51
0
To see more videos from user @oneclearmission, please go to the Tikwm
homepage.