imagine ukifuatilia vitu za tiktok u will ruin your life hii n content
2026-09-04 05:39:10
23
?@Grace Shiroo❤️🥰 :
😪😪😪😪😪Wewe fuata hizi mambo za TikTok for your own risk 😪😪😪😪😪 mm niliolewa na mwenye ashawai oa and he married me after they broke up for 1yr na dame akaolewa na mwanaume mwingine na akamzalia 😪😪😪😪we have been together for 4yrs n mtoi wetu......Kuna shida Gani as long as ww hukuharibu ndoa y mtu as long as ata mkianza kudate dame alikuwa ashaolewa ??????. can someone explain this one to me please
2026-09-03 05:04:01
15
Whitney migori :
exactly true my brother 😭😭
2026-09-05 19:36:43
0
sarah 💕💕💕💕💕💕 :
wengine wanatuambia tusirudi kwa ex aki TikTok,tufwate nani tuache nani
2026-09-01 09:12:45
21
blossom of the savannah 🥰 :
Na kama bb alikufa
2026-09-01 09:56:52
13
mam shann :
wangu alioa na sina haraka na yy after all he made his choice,,,but I always imagine nikiolewa kwingine atakuja kunitoa haraka Sana then narelax
2026-09-01 11:17:40
7
mama munene :
siwezi amini coz mimi tuliachana kitambo sana na akaoa nasimtamani tena mm
2026-09-02 11:32:44
19
Sylvianekesa :
Mimi ata mwenye Bibi alikufa tawe. Kuna Mabibi ufufuka
2026-09-03 23:04:53
8
mum girls :
true mm Niko na 5yrs tangu tuachane tuko na watoto watatu na yeye..nasiwadanganyi kurudi nayo narudi 😂😂😂😂sasa naurumia mwenye alikua ameambiwa nilienda😂😂😂
2026-09-02 10:18:26
15
Getty :
Sasa Mimi kama first wife nilifukuzwa Kuna kurudi kweli?
2026-09-02 03:51:06
9
Eunykmumias :
labda wewe lakini uyu wangu ni mwenye aliwai oa na tunaishi vizuri akuna pahali naenda ni mm n yy forever
2026-09-03 13:51:40
13
Nasiloli❤️🥰 :
sasa Mimi nijipange ama
2026-09-01 19:08:16
6
Susane Natalie :
Heheee Wanaume hawabadiliki kwanza ukirudi ataona huna pa kwenda
2026-09-02 19:14:16
5
Queen 👑💕💕💕💕💕 :
Mwenye aliolewa na ex wangu huyo ashaapata ju mm siezi rudia matapishi nishaatapika
2026-09-04 20:16:14
1
carol :
uyo bwana yangu ako wapi
2026-09-03 22:41:08
0
Mama elvo & bravo :
fine I may win,who knows
2026-09-04 13:32:25
1
Luna :
thrue nmejaribu lakini nimewachwa n madharau
2026-09-05 03:31:24
1
Olivechebby :
uwongo kuna wanaume wazuri
2026-09-04 14:21:15
1
Betty :
aki heri widow na widower
2026-09-02 10:31:43
1
Felistus Nyamai :
very true
2026-09-03 09:40:47
1
luhya icon💜🌹 :
nimekaa nae 4years sasa na bibi wakwanza walika 2y so akuna kitu unasema bro
2026-09-03 20:04:29
1
Migel Braityson :
Uongo mbona mimi wangu alioa na niko na watoto na ata sufikirihi kurudi bro,, akuna mwanaume wa mtu
2026-09-04 05:29:46
3
To see more videos from user @julius90.3, please go to the Tikwm
homepage.