@kayogera7:

Kayogera
Kayogera
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 08:45:48 GMT
49551
2078
34
460

Music

Download

Comments

thesuntz
thesun_tz :
Kwan wanayajuaje haya[Embarrassed]
2026-09-09 18:19:55
1
user4410133310606
user4410133310606 :
dusaidie jamani kiota chandenge nini
2026-09-02 09:04:07
1
mariamnizigiyiman
Mgeni firdaus :
Kiota ndo nini?
2026-09-01 11:31:25
2
sherimuindi
sherimuindih hi f..d pmk.ko yo :
Mimi nisaidie dawa koo nikikula nyama na ikakwama kwa koo,Mimi sai chakula haipiti vizuri kwa koo x-ray inasema hakuna kitu kwa koo sasa nmekaa wiki tatu sjapona
2026-09-09 13:26:00
1
matildabundala
matildabundala :
Dawa yakutibu misuli
2026-09-05 21:41:38
1
fettymobetto
fettymobetto :
sasa umesema kumbukumbu mwisho unasema kuongea sasa kipi ni kipi au mm ndio sielewi au kumbukumbu ndio kuongea sana
2026-09-11 06:29:04
0
ketura208
Kettyfashion :
Naomba ya kigugumizi
2026-09-02 07:41:45
5
john.yudda
John Yudda :
Apo sijaelewa . inshu ni Kumbukumbu Au. kuongea. sana.
2026-09-06 09:59:44
0
tinatana504
Tinatana C.E.O :
Sasa hii nitiba ya kuongea sana au yakurudisha kumbukumbu au yakurudisha UWEZO wakumbukumbu umenichanganya KWENYE maelezo yako kwamba ataongea sana nilitazamia kwamba atarudisha kumbukumbu
2026-09-02 14:13:42
1
layla_layla28
Leyla :
dawa ya stroke pls
2026-09-01 17:20:52
1
liliani729
liliani729 :
Dawa ya mtoto kuacha kukojoa kitandan??
2026-09-13 14:35:57
0
belya790
belya :
imani tu
2026-09-06 00:33:55
0
user5735784933684
user5735784933684bora uzima :
aksanti
2026-09-03 16:11:25
0
dotto.abdallah7
Dotto Abdallah :
asant
2026-09-02 14:06:43
1
anithalaurean
Anie92 :
ni uji tu vipi chai? maana wangu hawapendi uji
2026-09-02 14:59:36
1
gerfasifalerian
MACHAO KTUTU :
dawa nzuri nanikweli lakini dawa wakat unaungusa usifunike changu kiache was
2026-09-02 13:21:44
0
madawakemikali
madawakemikali :
kama kimejengwa ndani hico kiota je naweza kutumia
2026-09-03 11:36:05
0
user1031957868420
user1031957868420 :
Ni kuongea au kumb kumb jamn
2026-09-03 07:08:28
0
silapoo
silapoòo :
so kwa ndege john ni analala yule ndege ataree
2026-09-03 04:46:04
0
jeandamour508
D :
swahili ya tz ngumu jameni kiota cya ndege hatuelewi😂
2026-09-02 05:30:20
0
243fizi
BIG DADDY.COM :
KIOTA na CHICHA tofauti ni Hipi ?
2026-09-11 15:02:18
0
tresshbby
Tresshbby :
Kwa hyo mwanangu ale mavi ya ndege? Hell nooooo
2026-09-06 04:44:14
0
user9875942551667
justine safari :
🥰🥰🥰
2026-09-01 09:57:24
2
mary.kasoma
Mary Kasoma :
😂😂😂
2026-09-07 19:54:53
0
iddy.jalia
Iddy Jalia :
🥰🥰🥰🥰
2026-09-05 11:08:42
0
To see more videos from user @kayogera7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About