@mwalimu.kingofarm: vitamin 4 za asili kwaajili ya vifaranga chini ya mwenzi mmoja #broiler #tanzania #ufugajiwakuku #kingofarm #ufugajiwakuku

KingoFarm
KingoFarm
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 08:57:57 GMT
142869
3490
29
912

Music

Download

Comments

girow9
Neko Marts Store :
MAJANI MA4 YENYE VITAMINI WA WINGI 1. Majani ya mlonge 2. Majani ya mpapai 3. Mbogamboga (majani ya maboga, spinach, mchicha, chainizi, sukuma wiki) 4. Majani ya viazi vitamu
2026-09-02 03:30:27
18
raby.nzwala
Raby Nzwala :
nawez wapa na wakienyeji?
2026-09-27 15:00:38
0
warrantelick207
Warrant Elick :
hayo ni majani gani
2026-09-01 20:30:35
3
jenifermlawapp2
Jenipher mlawa :
kwa nini mkiani watoka Manyoa?
2026-09-25 01:10:19
1
user2565467722402
user2565467722402 :
kwan ni unachangany kweny maj au unasag alf unawap kam chakula naomba jib
2026-09-05 20:08:13
1
chisahamis
chisahamis :
Ahsante, then hayo maji watakunywa pia?
2026-09-26 16:37:29
0
azizashukuru
azizashukuru :
kwa hiyo hayo majani yote nachanganya pamoja ndo navitwanga
2026-09-27 11:48:22
0
all.i.do.is.kuku
KUSINI YETU FARM 🐓 :
Hii n kwa kuku wa mayai au hata broiler
2026-09-04 21:19:46
1
shamsiah840
shamsiah1 :
nimependa I wish nianze kufuga but nipo mbali na nyumbani
2026-09-30 06:44:12
0
aselangonyani
asela ngonyani :
asante Sana
2026-09-24 12:06:43
0
user1218766588465
aderina njunwa 2020 :
nimeipemda dawa yaasili
2026-09-02 16:53:46
0
ayoubsaid430
kotwaah48 :
asante ila je unachanganya au
2026-09-10 04:21:49
1
leonardminja262
Leonard Minja :
Wow! Katani plus pilipili hizo!
2026-09-23 18:24:01
0
user6796721135675
user6796721135675 :
unayabrend au unafanyaje je ukiwapa hivyo ni shida?
2026-09-16 16:04:54
0
user4116007788155
user4116007788155 :
ok
2026-10-06 09:31:32
0
user5123966170658
Engineer Laizer :
ongea haraka haraka
2026-09-05 08:26:37
1
mwiza_farm
Mwiza Farm :
2026-09-22 18:11:04
0
lovenessanga261
Lovenes Sanga :
l
2026-09-05 08:38:58
0
enesarobert
Enesa Robert :
unayachemsha au
2026-09-02 21:32:13
0
1273lucy
1273lucy :
nice
2026-09-01 10:17:32
2
saumumunisi0
saumumunisi0 :
basi asante ila uwe unajibu maswali au u respond kwenye comment
2026-09-01 20:05:46
2
mymomy40
bint msellem :
Sasa yoetw hayo unayachanganya kwa mara moja au vip
2026-09-01 17:27:50
0
4yer.cev
4yer Cev :
😳😳😳
2026-09-02 13:29:01
0
salmafaraji375
salma faraji :
🙏🙏
2026-09-01 20:00:49
0
dabettycollection
dabettycollection :
🙏🏽🙏🏽🙏🏽
2026-09-22 16:08:40
0
To see more videos from user @mwalimu.kingofarm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About