Yan hawa ndy wanasababisha kuwapa nguvu wanao sema kuwa maulidi ni bidaa au mnasemaje wenzangu
2026-09-04 21:20:55
4
samir kureysh :
subhanallah
innah lillahi wainna ileihi rajiun
dhawabu ngapi mwapata kunenguwa
viuno.
tumuogope Allah jamani marejeo ni kwake
2026-09-04 18:30:05
4
hajir :
inalilahi wainailayhi rajiun Allah atuongoe na atuhifadhi na bidaa
2026-09-03 14:20:51
0
mwanalicous_natural :
mnatupa kazi sana kuyatetemea maulid wallah bilah 🙌🏻sasa hapa utasema unamswalia mtume muhhamad S.A.W watu wanasema eeeeh poaaa si nyimbo za visingeli ALLAH atunusuru subhanAllah
2026-09-03 15:27:07
1
namnake11 :
inasikitisha sana jamani sivyo hivi tunapaswa kuswalia Habiby wa Allah
2026-09-06 05:50:51
0
BARAKA SUIT DESIGNER :
Masheikh na walimu wa dini baadhi yenu mnaupeleka wapi wislam?
2026-09-05 06:35:08
0
Juma Kassimu :
umeonasasa tukisema mnatuita mawahab sasa hivyo ndonini sasa