@zungu_berry255: ULIKUWA WAPI WAKATI HUO? TANGAZO LA BIA YA SAFARI LAGER ENZI HIZO #matangazo #trending #zilipendwa #bongofuntiktokers #creatorsearchinsights

BONGO ZA KITAMBO
BONGO ZA KITAMBO
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 09:09:26 GMT
16399
839
60
81

Music

Download

Comments

wabheja_trucker
wabheja_trucker :
Maisha yalikuwa bomba sana nyakati hizi✍️mambo yamebadilika maisha yamekuwa complicated sana
2026-09-02 07:04:40
13
samstig2
Stig jr :
kuna lile safari ni safari iwe kwa miguu au kwa bus safari ni safari
2026-09-01 19:26:10
9
1_user105
_ :
Enzi hizo matangazo watoto tunayaimba kama muziki, Ahaa zamani walikuwa wanafanya marketing aisee🔥🙌
2026-09-02 00:22:39
9
justin_joseph_machete
justin_joseph_machete :
Kuna tangazo la Chai Bora lile mtoto anaenda shule
2026-09-02 05:58:46
3
kottontanzania23_
Kotton | Tanzania 🇹🇿 :
we unayapatia wapi 😂🔥🔥🔥
2026-09-01 16:33:13
2
richkhan92
richkhan92 :
lile la yule masai ndo nalikumbuka
2026-09-01 14:26:43
2
_soso_3425
Soso :
inabidi nioe sasa😁
2026-09-01 17:24:44
1
leloo_sir
Leloo Olomy :
naomba la Tusker la TID marafiki wa kweli
2026-09-02 07:26:16
3
north_star513
north_star :
na lile la tusker axee
2026-09-01 19:47:04
1
godwinsangawe23
Godwin Sangawe :
Leta lile la Tusker Aliloimba TID
2026-09-01 10:59:07
2
mr_shuma7
Mr_Shuma27 :
Mwaka gani hii?!
2026-09-01 18:12:33
1
kihangasper
Kihangasper :
luna lile la tusker. dah
2026-09-02 08:33:12
0
elmachomboyafundi
jescapeter swai :
unatakiwa utaje na mwaka
2026-09-01 18:40:07
1
usmanirohan
erthinho :
mwAka gano
2026-09-01 09:29:34
1
raymondkikwesha3
Raymond Kikwesha :
humbe nishakuwa muhenga nilikuw mdogo hili tangazo
2026-09-01 10:57:14
1
richardlupembe
Lupembefit🌕 :
DAAH KWELI TUNA ZEEKA JAMANI 😳😳😳😳
2026-09-01 18:00:16
0
feisal662
azzfsl :
1990
2026-09-01 18:26:54
1
ramadhannassor536
ramadhannassor536 :
Daah noma sana😃😃
2026-09-02 10:16:29
0
makisa98
Miles Martin :
hii nyimbo nilikua naijua yote yaani daaahhh ulivopost umerudisha kumbukumbu nzuri kwangu 😢😢😢
2026-09-02 18:50:38
0
raymondleonss
raymond :
🔥🔥Kali
2026-09-02 19:20:48
0
ma_gee1993
MA_GEE1993 :
lile la tusker jamani ameimba TID
2026-09-02 18:01:20
0
mpkatonge
Mp katonge :
siku izi kila Kona ubunifu umepungua
2026-09-02 17:48:36
0
123456789k123451
BABALAO :
kama unalijua hili tangazo saivi unatakiwa uwe umeshaoza kaburini😄😄😄
2026-09-01 18:55:23
1
mussalameck7
Mussa Lameck :
la masai na tu jumba
2026-09-01 17:46:12
1
yambiashura
user6544829768737 :
2026-09-01 15:52:25
1
To see more videos from user @zungu_berry255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About