@madininews: Kundi la watu nchini Nepal likiwa kwenye kile kinachoonekana kama tukio la kutangaza na kuingia katika dini ya Uislamu (Shahada). Dai hili linajiri mara baada ya nchi hiyo kukumbwa na mafuriko makubwa hivi karibuni. Kulingana na maelezo yanayosambazwa mtandaoni, inadaiwa kuwa takriban watu 41 wamebadili dini na kuwa Waislamu. Baadhi ya vyanzo vya habari vinadai kuwa kundi hilo linahusisha watu waliowahi kubomoa msikiti na baadae kukumbwa na mafuriko hayo.
watu wataingia kwenye dini makundi Kwa makundi. tumshe mwenyez mungu
2026-09-01 21:56:35
45
♥️♥️maridhia❤️♥️ :
takbir
2026-09-02 05:30:59
11
Mamy azzah :
Itakapo kuja nisura ya mwenyezimungu na ushindi utawaona watu wanaingia katika dini ya mwenyezimungu makundi kwa makundi basi nawe jitakase kwa mola wako na uombe maghufira 🙏
2026-09-02 09:21:06
24
Jasmine kibiyo :
Talker
2026-09-02 20:10:39
0
Musa Ahmadi :
namshukulu sana mungu kwakua muislamu
2026-09-02 07:07:41
9
princess naah255. :
taqbir🙏🙏🙏
2026-09-02 10:53:33
1
Nasra Salehe :
mashaalla
2026-09-01 12:17:40
0
jcharles13 🇹🇿🇹🇿 :
wanaingia sehemu wasio ijua mwisho wake.
2026-09-02 11:12:12
1
Limada Iddy :
manshallah
2026-09-02 19:09:17
0
Subira Salehe :
ALlahu akbar
2026-09-01 12:23:10
10
Hassan salim :
Duhu hawamini mpaka waone
2026-09-01 21:02:11
6
Ayaan❤️😍❤️ :
Allahu Akbar Alhamdulillah 🤲🤲🤲
2026-09-01 11:39:58
7
user7674231387854 :
taqbir
2026-09-02 13:21:31
1
usermr yaba wizzy babilony :
Allahu Akbar
2026-09-02 05:36:57
2
Pengo Makeke TV📺 :
uislam ukiupiga vita ndo unazidi kukuwa mashaallah 🥰
2026-09-02 15:48:58
3
prime.ramso :
HUO NDIO UKUBWA WA ALLAH(S.W)🥰🥰🥰
2026-09-02 12:04:33
2
user2188303136747 :
ALLAHU AKIBAR
2026-09-01 18:33:19
1
Athuman Bendawa :
Allah Akbar
2026-09-02 03:47:37
3
Ngadu Bøy :
Yale maj yakitokea dunia nzim sjui itakuaj ila tuombe t msamah kwa mungu mana madhamb tunazidisha sana sas
2026-09-02 17:19:40
3
Pool of Faith :
Wamenusurika wanaume tu vijana… achen upuuz Mungu sio mwanasiasa
2026-09-02 09:07:49
3
To see more videos from user @madininews, please go to the Tikwm
homepage.