@khalifa.said4: kama kungekuwa na nia ya dhati ya kufanya maridhiano nchini, na siyo hadaa za kisiasa na kupoteza muda, ushiriki kwenye mchakato huo ungekuwa mpana, ukihusisha wadau wengi zaidi mbali na vyama vya siasa. hofu na wasiwasi wangu ni kwamba ccm hawawezi kukubali hilo litokee kwani, kama wasemavyo waswahili, wameshazoea vya kuchinja, kamwe vya kunyonga hawaviwezi: 🎥: @nijuzenews, @Kirati07
khalifa said
Region: BE
Tuesday 01 September 2026 09:27:14 GMT
Music
Download
Comments
Ali sykes :
Maridhiano ya nini? kwani tumepigana? hakuna kuridhiana tuna ridhiana nini?
2026-09-01 11:26:39
13
WA ADAM NA HAWWA(EVA) :
KAIMBE TAARAB
2026-09-01 22:33:20
0
lyandala noah :
kweli yako mwandishi safi sana
2026-09-01 19:44:39
12
Amb :
maridhiano ya nn na nani kaka watu walisusia uchguzi
2026-09-05 05:07:59
0
Mimah Og :
big up Khalifa 💯
2026-09-01 19:19:17
2
eddahmwafongo :
kama wandishi wote wangekua kama ww tungepona watanzania
2026-09-02 14:02:35
9
lusajo mgogo :
Kaka simama usirudi nyuma nakuelewa Sana
2026-09-02 06:52:13
2
mjuni03 :
Ushauri mzuri
2026-09-01 14:49:53
6
user434584871484690 :
Bado watanzania hawatambui mchango wako wa Kifikra, ebwana bro Una maarifa makubwa sana
2026-09-01 15:43:54
6
Tizzo Kapungu :
kk hayo makundi mengi yanamilikiwa na ccm yakoja hapo kwenye mkutano asilimia nyingi yatahunga mkono mambo Yale yale
2026-09-04 05:11:54
0
አልሀምዱሊላህ አለኩልሀል 💚💛❤️ :
kabisa
2026-09-01 09:41:02
2
Dulla Saidi :
kwer kabsa mkuu
2026-09-01 10:42:01
1
mlandamulejr255 🇹🇿 🇹🇿 :
Nakubar sana mkuu mungu akulinde
2026-09-01 09:31:39
3
Genghis Khan :
serikali inafanya maridhiano na nani? kwani wananchi wa Tanzania na serikali ya Tanzania ni vitu tofauti?
2026-09-01 18:30:25
1
the@sun :
sijawai kukupinga kaka!! wewe ndo mwandishi wa habar bora kwa sasa tanzania!!
2026-09-01 13:03:10
1
Enock Makoga :
ukweli mchungu ambao hausemwi lakini upo wazi kabisa ccm ni waongo sana na matapeli wakubwa sana watanzania tuwe makini sana wapo kwa ajili ya maslahi yao tu na familia zao sio wananchi wazalendo
2026-09-01 13:40:12
4
Lenard Naman :
fact
2026-09-01 10:51:39
1
jr :
kweli
2026-09-01 18:43:52
2
Mussah Rimoy :
sahh kabisa
2026-09-01 09:44:13
2
edsonsichale :
truth
2026-09-05 16:10:44
0
Ommy Chamosi :
Umebakia wewe na odemba KAKA MUNGU AWAPE AFYA NJEMAAA
2026-09-08 19:17:00
0
Muungano :
hivi kaka umeona au Bado plz niambie ukweli
2026-09-06 08:15:49
0
COOL SILVER ZE SUPER LOC'S :
HIYO NI SAWA NA KUITOA CCM MADARAKANI
2026-09-09 03:46:37
0
Ngotwike :
una sema ukweli ila ukumbuke ukiwa unasema ukweli unapotezwa ilo nakupa tu angalizo ndugu yangu
2026-09-05 19:30:56
0
KGbrothers :
Nchi ni ya wananchi na sio ccm na chadema, lazma tuamue ss nchi yetu iende vp
2026-09-01 10:53:25
1
To see more videos from user @khalifa.said4, please go to the Tikwm
homepage.