mim ni salafy lakin masheikh kauli zinchungeni sana msijichupa mipaka juu ya hili swala
2026-09-12 08:11:23
1
Abu rumaysa :
Masheikh muda mwingine tuwe wakweli kwa Hali ya maisha ya SASA Bora niwe na mmoja Tu. ndiyo uwezo wangu kimwili na kifedha. sasa tuheshimiane kwenye msimamo.
2026-09-10 07:40:14
0
Said Vela :
حقيقة
2026-09-02 06:53:55
1
Mastura :
na huduma mbona hamzisemei au si muhmu
2026-09-12 04:51:57
0
Shanuku Da Vinci :
inabidi airudie tena kuisikiliza
2026-09-10 13:51:47
0
Abuu Reelan :
huyo mmoja sina uwezo nao seuze wanne mhhhh
2026-09-09 16:44:21
0
A🤴🤺 :
hapo Sheikh waanza kukosea watu heshima Sasa
2026-09-12 06:09:25
0
Ummu haytham :
yani hili jambo baadhi yao wamechukulia sama sum'3a kama anajikweza subhaanalaah Mcheni Allah hii ni ibada ina adabu zake kauli nzuri zitumike na upole na busara na subraa juu ya wanawake lakin wengi wao wanafanya kibri kujifakharisha hakika si vinginevyo atalipwa mja kwa kile alichokinuia
2026-09-12 08:28:57
0
Ummu haytham :
Allah alivyosema mtapoona hamtafanya uadilifu basi oeni mmoja jeh hapo vip subhaanallah
2026-09-12 08:12:50
1
️Mr Atalika :
Kwahiyo kipindi mtume yupo na bi khadija hakua na akili, au kipind Ally upo na Fatma hakua na akili, kuna muda mtumie maneno ya busara kwenye kutoa elimu.
2026-09-11 16:44:17
0
BAZAAR :
Shekhe umeongea ukweli mm saa nyingine nina upwiru ila nanyimwa😳😳😏
2026-09-11 04:40:36
1
Mjukuu wa babu :
WE KWELI KIZA
2026-09-13 13:35:21
0
SHEIKH ABDUL KIUMBE FIRDAUS :
🥰🥰🥰
2026-09-10 19:40:59
0
Rashidi Jonasi :
😭😭😭
2026-09-11 11:54:45
0
NASSOR BACH :
♥️♥️♥️
2026-09-03 22:00:19
0
Abdiaziz Alimusa :
🥰🥰🥰
2026-09-11 14:27:49
0
To see more videos from user @abuu.nirham.kakub4, please go to the Tikwm
homepage.