hii album nilikua naipenda 2009🥰🥰😂😂. I knew all the songs
2026-09-06 17:26:06
5
Becky Musilvi :
@ha.runi do you remember these days when the neighbouring church would put these albums on Sunday in the morning 😂❤️I miss the old days ,alafu tunaendea mandazi ya chai asubui ,na githeri ya mum,na chapati kwa ule mama mtanzania 😂😂
2026-09-13 20:26:54
1
user43278341761821 :
Rozi uwaunanibariki sana na nyimbo za zamani
2026-09-19 18:04:14
1
bethsheba :
na ya Facebook twitter iko ?🥰
2026-09-06 22:12:46
2
simoni mwita :
hii nyimbo ni kati ya zilizo ni shawishi kumfuata yesu
2026-09-01 11:55:36
13
Ornellaministries✝️🧎 :
uyu mama ana mwito kabisa tofauti yangu zamanii nyimbo anazitunga zina beba injili
2026-09-19 20:31:03
0
Rose Makungu :
hapa aliimba ndani ya roho
2026-09-12 12:57:51
2
Stephen Okumu Ochar 🇰🇪 :
Rozy katika ubora wake🥰🥰🥰🥰🥰
Faya si Faya
2026-09-01 11:33:01
9
MR PARIS☎️ :
huyu malikia ndio msanii wa mwaka huoo alietoaa album ikawa hits songs zotee 2009 hii🔥🔥🔥🔥🔥
2026-09-18 12:15:50
0
Frank Robati :
kweli iiiiiiiiiiii
2026-09-02 09:32:27
4
Oscar Oscar jr :
kipindihicho nilikua najua pale nyumbani kwetu sitatoka
2026-09-04 14:48:38
1
Chriss Kisilu :
Huyu mama ni noma
2026-09-01 18:06:30
3
noela jrn❤️ :
wonderful
2026-09-02 10:42:11
3
Maria :
huyo ndio rozi hakuna kama yeye
2026-09-01 11:35:23
5
💦vèrïñë😺 :
2026-09-04 04:14:47
0
obedyrising :
iyi nyimbo Ili kuwa na ufunuo nyingi sana
2026-09-10 07:59:08
5
rosettefaray :
tupo nawe rose wetu
2026-09-03 01:38:52
3
riziki :
🥺🥺
2026-09-02 17:53:53
1
peri bog :
hapo Sasa mungu atusaidie,vyote niubatili chini yajua,mungu atusaidie sana
2026-09-06 15:58:43
1
Dieudonné furabo :
merci
2026-09-05 03:58:52
1
Merry Merry :
nimekubalikwer Rosamhsbd nimalikia wa nyimbo za gosp halikuwa salaam mma🙏🙏🙏
2026-09-06 15:08:36
1
kemmy 💕 💕 :
😍😍😍🤣🤣🤣 nakumbuka hii song ni kiwa class 3 nilikua napenda any I like songs za rose
2026-09-11 01:00:34
1
Christ01_Jojo :
yani madancer wa Rosy tokea day one wananibariki 😅
2026-09-03 09:10:24
1
To see more videos from user @oldgospalsongs, please go to the Tikwm
homepage.