congratulations Jihan I love you so much Tanzania on the air, we are proud of you Jihan, umejua kutuheshimish sanaaa hongeraaaa nakupenda san Mungu akulind atulindie wew jihan wetu thanks so much 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🥰🥰🥰
2026-10-10 16:56:24
0
🧸Zeedy🦋🐈⬛🍫♎🇹🇿🇰🇷 :
My queen 👑❤️😘
2026-09-19 08:53:27
4
miss sonie💖 :
penda sana❤️
2026-09-30 20:18:30
0
🦋Ranny babe 💋❤️ :
I love u🥰❤️from Burundi🇧🇮
2026-09-01 10:41:07
2
Catherii :
Mungu awe pamoja na wew🥰
2026-10-03 09:48:17
1
magy :
Tanzania 🇹🇿
2026-09-30 07:55:32
2
Neymar Tanzania🇹🇿 :
tz mbele zaidi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2026-10-02 09:46:37
1
🥰🥰she@ :
alla akusimamie dada kila ulipo naksapot dada♥️♥️♥️🇹🇿🇹🇿
2026-10-01 14:50:06
3
esther Ghati :
yu pamoja nawe atatawala
2026-10-01 10:52:15
3
G🌹🥀 :
mungu you pamoja nawe kipenz ucichoke kumuomba kwa wingi na kufungq kwa ajir ya jambo hili lililo mbere yko
2026-10-01 07:35:09
2
Qisrah :
mungu akusimamie kipnz fahali yetu
2026-10-01 06:44:22
0
steven masunga :
MUNGU atasimama nawe familia, ipeperushe vzr ndege mzuri mwenye rangi nzr, rangi zilizopangika zikapangika hata akisimama ktk mlingoti ni burudani tu, jihan nenda kampeperushe huko, tupo nawe
2026-10-02 02:43:49
0
Naomi Ayubu :
Tanzania
2026-09-19 06:28:49
2
Cathryn :
Naskia tu mwili wangu kusisimka nikikuona nakuombea mdogo Wangu Mungu Atatawala kwa hili,tena kwa Ukubwa walishangazwa Dunia 🥰🥰 The one miss grand world 🌎 🫶🏼🇹🇿
2026-10-01 09:18:51
1
To see more videos from user @jihan_dimack, please go to the Tikwm
homepage.