kumbe hunijui vzr umeisahau ile ya memoric means of learning NACHUTUNDIZAPA
1 NA nanasi
2 CHU chungwa
3 TU tufaha
4 NDI ndizi
5 ZA zabibu
6 PA parachichi tena kwa mpangilio
2026-09-01 17:46:57
25
Naoram10 :
grapes
2026-09-03 13:41:24
1
Is-haka Amri86 :
zabibu
2026-09-01 11:06:55
17
da way❤️🔥😋🤪 :
nimepata 5/6 nilisahau zabibu daaa na sijazeeka apa
2026-09-01 11:59:52
10
pretty fetty🥰🥰 :
nmepatia zoteee
2026-09-01 12:46:01
7
Abou_sahal97 :
kwenye ndizi wazamini ilo jani apo ni sahihi au niache ujinga😅😅😅😅
2026-09-01 13:43:38
7
CHAHHZAD CHEEF :
mm sasa kabla yamaswali
2026-09-01 12:07:42
8
꧁..✨️ ℍ𝕒𝕞𝕠𝕠𝕕𝕒𝕝𝕪 ✨️..꧂ :
kama una miaka 20 hadi 38 na huna nyumba, kiwanja, gari wala benk huna hata pesa basi usijali tupo wengi sana ndugu yangu 😓😓😓