@bajaj_boxer_moshi_town_: #tanzaniantiktok🇹🇿 service ni muhimu sana….💨💨

Boxer motorcycle center….💨
Boxer motorcycle center….💨
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 11:00:37 GMT
36791
1074
97
268

Music

Download

Comments

bayolo_s_khudheyfa
بايولو س. خوذايفه :
Bro used grease instead of oil kwa bike…, 🤣
2026-09-03 02:40:40
0
dee_camera
dee_camera :
Acheni niendelee kutumia ORYX tu
2026-09-01 19:08:11
8
davidkaputa3
mpitanjia :
aliechukua plaiz apa nani
2026-09-01 13:39:43
8
sugaratz
Mussa wa paulo :
wakuu habar bike yang ni HD 125, inavuja oili nimepeleka kwa mafundi mara tano ila ttzo Bado oil nikitembea inatoka taratibu,..wameweka gasket, wameziba kias kwamba had wamefungua ila Bado.. naomba msaada kujuw ttzo ni nn
2026-09-01 23:56:21
4
mangimpemba
mangii✌ :
hii oil ya kwa mpalange
2026-09-01 13:49:30
5
willy.williams082
willy William's :
au chuma ilitiwa oko badala ya oil
2026-09-01 19:39:17
6
dansan3255
dansan3 :
watumiaji wa sino wekeni oil 10w30 au 10w40
2026-09-02 13:19:02
0
daillah0
daillah@ :
kak ukiweka centet crach ile ya 26000 kna Mazara mana Kuna ogi na hi y 26000
2026-09-02 13:17:10
0
godlistenbaltazar
GB-Salema Tech :
kwaiyo usipobadilisha oil ndo inakua ntaa au izo oil mnazouzia wateja ni zile zinakuja na baisikel
2026-09-02 10:52:31
0
hnaeeminamba3
H naee minamba :
Naskia sauti ya fundi simba hapo kwa heshima kubwa fundi mkubwa💯
2026-09-02 18:34:11
0
lusungumtewa
lusungumtewa :
iyo wakuu oil wamechanganya na grisi 🤣🤣🤣
2026-09-03 09:36:39
2
jaruu90
jaruu :
oil za bei kitonga yan imechanganywa na gundi ya miti
2026-09-01 16:30:20
3
chris.meshack
Chris Meshack :
3000 iyo
2026-09-01 13:27:56
1
surasioroho4
hoosee bike :
😂😂😂chanika sio
2026-09-03 16:52:59
0
abadisalum
Abadi Salum :
@Abadi Salum:inawezekana ni oil yenye tu yakuwekwa kwa engine ya pikpik lakn kitu ambacho wengi tunaokwenda fanya service tunawekewa oil feki na ziko nyingi sasaiv hasa maduka yakawaida ni Bora uende sheli ukanunua oil Yako ukafanye service lakn sio oil za madukan utakutana na kitu kama unachikiona hapo mm mwenye nimekutana na hekaheka kama ziko wakuu
2026-09-02 14:35:02
1
kivafamily7
🚦🛣47 :
mbona kama glis☺️☺️☺️☺️
2026-09-03 10:10:51
0
max11878
MAMEN DRONE :
ALIKUWA ANAWEKA GRESI AU
2026-09-01 12:10:33
1
japheth0303
😇Japhe#Mchinah :
Wakati mwingine wateja hawataki kuelewa Wanataka tu Bei poa na hapo ndipo tatzo huanzia🙌🙌
2026-09-02 07:41:38
1
user0769214893wilyboikau
Engineer wilyboi :
iyo sio oil iyo n glue
2026-09-03 10:02:23
0
houseofbikes0
House_of_Bikes🏍️🇹🇿 :
huyu kaweka lube 😂😂😂
2026-09-02 23:56:05
0
leavingthedream
🅕🅛🅤🅧🅨 🅚🅘🅓🅓✅ :
mwmby fundi plaise ninayo mimi
2026-09-03 18:47:57
0
msomali_furniture
Msomali furniture&home decor :
uyo aliweka grisi na patex au😁
2026-09-03 13:35:35
0
taptech
𝗧𝗔𝗣𝗧𝗘𝗖𝗛 :
oil za kupima hizo, bei ndogo dukani, matengenezo makubwa garage 😂😂
2026-09-03 18:36:32
0
baro_officcial_092
baro_officcial 092 👑 :
iyo sio swala la kubadilisha oil wa oil kuwa fake hii Kuna kitu wamemuwekea humo aisee
2026-09-03 12:12:37
0
kibabake1
Kibabake :
Alikuwa anatumia oil gani...?
2026-09-01 13:28:02
0
To see more videos from user @bajaj_boxer_moshi_town_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About