@bongofive: Mbunge wa Jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam, Bakari Shingo, amesema wakati anaingia Bungeni hakuwa akifahamu kuhusu masuala ya posho, lakini baada ya kukutana nazo zimekuwa na mchango katika shughuli zake. Shingo amesema pamoja na kumsaidia yeye, ameamua kutumia sehemu ya posho hiyo kuwasomesha watoto, ambapo hadi sasa amefanikiwa kuwapeleka shule watoto 700, na anatarajia kufikisha watoto 1,000 ifikapo Disemba. Kuangalia full interview, tembelea YouTube ya BongoFive. Imeandaliwa na @yasiningitu.
Bongofive
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 11:06:19 GMT
Music
Download
Comments
user5629744570150 :
jerry anasemaje kwani
2026-09-01 18:50:39
4
Rama Lukungu :
uongo pia
2026-09-01 18:37:09
2
don.kyabonaki :
kumbe mfuko wa jimbo unaingia moja kwa moja kwenye account ya mbunge
2026-09-01 20:58:04
1
WEDNESDAY :
ubunge ni maisha. Hakuna mtu anayependa ufukara isipokuwa kama una roho ya UTU ndy u naweza kukumbuka wengine. MSHAHARA inasemekana ni mil 17 kwa mwezi, hela ya jimbo mil 45 kwa mwaka na posho za bungeni.
2026-09-01 21:51:45
0
nando :
mungu amzidishie
2026-09-02 04:29:47
0
mark :
yani hatasijui nikuambieje,njia ya ya pugu machinjioni unaijua,barabara ya kitunda unaijua,miundombinu ya ukonga kwaufupi ni mibovu vip hilo mbona ulisemei
2026-09-01 21:19:47
1
mika :
hivi huyu si ndo makamo kabisa au nawafokea
2026-09-01 12:14:48
1
@kaizi 777💪💪 :
kama akuletwa posho wakimpa anitumie nimuonyesha kazi ya posho
2026-09-02 07:30:27
0
Jafet Mrorwa :
alikua na mishen moja kumtoa jeli
2026-09-02 02:16:12
0
mbarakachambo :
mtangazaji unazingua ,,amedai ,, ni nn amesema
2026-09-01 13:34:42
0
𝓜𝓘𝓒𝓚𝓘𝓓𝓐𝓓𝓨 🤍👑 :
💯💯💯
2026-09-01 11:52:47
1
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm
homepage.