@cuongbu209:

cuongbu209
cuongbu209
Open In TikTok:
Region: VN
Tuesday 01 September 2026 11:16:27 GMT
50
8
0
11

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @cuongbu209, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Jinsi Kisukari Kinavyosababisha Ganzi Kali Miguuni na Mikononi Ugonjwa wa kisukari unaweza kusababisha ganzi kali kwenye miguu na mikono kupitia hali inayoitwa neuropathy ya kisukari (diabetic neuropathy).  Hii ni mojawapo ya madhara ya muda mrefu ya kisukari, hususan iwapo sukari haitadhibitiwa vizuri. Hizi ndio namna ambazo sukari husababisha athari hii .. 1. Kiwango cha juu cha sukari kwenye damu kwa muda mrefu huharibu mishipa midogo ya damu inayolisha neva (nerves). 2. Neva (nerves), hasa zile zilizo kwenye miguu na mikono (peripheral nerves), hupata madhara kutokana na upungufu wa damu na kemikali hatari zinazosababishwa na sukari nyingi. 3. Hii husababisha kupungua kwa uwezo wa neva kusambaza taarifa za hisia, kama maumivu, joto, au mguso. Dalili za Ganzi kwa Mgonjwa wa Kisukari ✓ Ganzi au kufa ganzi (numbness) ✓ Kuwashwa au kuchoma (burning sensation) ✓ Maumivu ya kuchoma au kukeketa, hasa usiku ✓ Kuhisi kama miguu au mikono ina sindano au misumari ✓ Kupoteza uwezo wa kuhisi maumivu au joto, hasa kwenye nyayo ✓ Baadhi ya wagonjwa hupata udhaifu wa misuli Madhara Makubwa Yanayoweza Kutokea 1. Vidonda vya miguuni ambavyo havihisi maumivu, hivyo kuchelewa kutibiwa 2. Maambukizi makubwa yanayoweza kupelekea kukatwa mguu (amputation) 3. Kupoteza uwezo wa kusawazisha mwili, hususan wazee Je ungependa kupata program yenye kukusaidia kutokomeza kabisa ugonjwa huu ili uwe huru na ujikinge na madhara Makubwa ya ugonjwa huu? chukua namba kwenye bio tuwasiliane au Comment neno NAHITAJI nitakupatia utaratibu wa kupata Tiba kamili

About