@mexter24: MNISAMEHE KWA KUPOST ,LENGO LA KUFANYA HIVI NIKUWAKUMBUSHA TU KWAMBA,USIJIONE WEWE UNA SHIDA SANA😩 KUNA WATU UKIWAONA UTATAMANI KULIA NA KUMUSHUKURU MUNGU KWA JINSI WEWE ALIVYOKUPENDELEA🙏 Karibuni sana juice🥤#mexter24
𝐦𝐞𝐱𝐭𝐞𝐫🍍
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 11:31:05 GMT
Music
Download
Comments
Regina20 :
nikweli mungu atusaidie na atupe mioyo ya shukuran🙏🙏🙏🙏
2026-09-01 11:36:17
13
Qam…👑 :
🥺🥺Huwa nalia ndani ya moyo kila niunapo mama anaehangaika kw namna yoyte
2026-09-01 14:08:17
11
officialnaah :
be blessed 🥰
2026-09-01 12:55:05
1
missog :
Mmmmmhhh we acha tyuuuu 😭😭😭😭😭😭🙏🙏💔💔💔
2026-09-01 17:37:36
1
Penuel Mnango :
Mungu akubariki
2026-09-01 11:37:36
6
Lilian Josephat :
blessing
2026-09-01 12:25:46
1
Favee🍇 :
🥲Barikiwa🤲
2026-09-01 13:36:52
1
sofia :
mungu akupe maisha marefu broo kwa icho unachikifanya fungu lako utalikuta penda sana wewe
2026-09-01 18:45:21
2
Norah Health Tips :
Mungu amfanyiee wepesii 🙏🏻
2026-09-01 13:47:08
1
0ffical-mrs karim🥰 :
Mungu akubariki sana na kukupa maisha yenye faraja na nuru tele 🙏🙏🙏
2026-09-01 15:32:09
1
Beatrice ❤️ :
ni kweli kabisa
2026-09-01 13:50:39
1
lizzbety :
mung akubarik
2026-09-01 17:39:28
1
Braytech solution :
barikiwa brother
2026-09-01 11:59:55
1
angel 😇❤️ :
ubalikiwe kaka
2026-09-01 18:05:15
1
kylie mom :
Mungu atujalie tusaidie ndugu zetu wenye uhitaji
2026-09-01 14:16:18
1
cute Joyce💖 :
Mungu azidi kukubariki
2026-09-01 12:34:13
1
Neemarodrick :
Hata Kwa icho kidogo ubarikiwe hata kama watu hawajakuona MUNGU wambinguni amekuona na utabarikiwa zaid na zaid
2026-09-01 19:14:31
1
Lee🤭❤️ :
Mtag hapo kaka esco jamani tumsaidie huyu mama
2026-09-01 17:00:27
2
user37786253698111 :
Bwana Mungu azidi kukubariki.
2026-09-01 11:47:13
1
Rojas mabati original✅ :
Daaah cjui niandike nn lakin Asante Mungu🙏
2026-09-01 13:28:45
3
b massawe :
mungu akubariki sana 🥰🥰uendele na moyo huo pia asante kwakutukumbusha hili tumejisahau sana
2026-09-01 12:09:37
1
irenejeremiah344gmalllll :
kabisa me mwenyew kunawakati uwa namlalamikia Mwenyezi Mungu lkn ten nawaza nakumwambia Mungu nisamehe ata uzima kwangu ni baraka 🙏🙏🙏
2026-09-01 12:28:58
2
Neynilly❤️ :
ni jambo jema umefanya❤️
2026-09-01 19:12:42
0
To see more videos from user @mexter24, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.