@antsuusimulizi: majuto ni mjukuu #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokenya🇰🇪 #fyp #viral #foryou

Antsuu Simulizi
Antsuu Simulizi
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 11:34:55 GMT
22039
1337
89
131

Music

Download

Comments

kitsao.tuva
kitsao tuva :
congratulations
2026-09-11 16:31:10
1
user1547637558154
Chande kilaka :
twambie.dada
2026-09-01 13:56:57
2
reghan872
Reghan :
kuna mtu yuko kwenye hii situation na ni mimi ndo maamuz nayotaka kuyafanya kama huyo jamaaa ndo nimeamua kuyafanya saivi I'm a man now it's time to start again.
2026-09-10 02:09:18
3
pious900
pious900 :
ujauzito wa pili ni wa Nani?
2026-09-09 04:01:51
1
user7406720665761
hazadi :
nimejifuza sana
2026-09-01 12:56:06
5
sarahadam8468
sarahadam8468 :
dada nimeumia sana ii stori imenikumbusha mbari sana
2026-09-08 20:46:32
2
user50596393141163
user50596393141163 :
yani unavo,ongea ivo nakupata sana, maana ata mimi mke wangu aliondoka kama wewe ivo ivo na sasa ni miezi mi 2 na nusu na nilisha m,bembeleza sana lakini ananizarau tu kama wewe vile vile yani kila kitu mikama wewe,ilivyokua na mpaka sasa.nimeanza kuchoka kumtafuta maana meseji zangu hazijibiwi na nimeanza kufunga mlango. aoa nawaza tu mengine pole pole na ni mjamzito kama ilivyokua kwako
2026-09-09 19:36:05
1
user34697283256356
user34697283256356 :
ni sahihi mwanaume kujishusha kwa mwanamke anaemuhudumia kira kitu ?🙏
2026-09-08 20:03:30
1
jamalsalim661
yamaldin :
true
2026-09-03 20:22:44
1
radhiahassansaid
iptidahyaissaissa :
Majuro mjukuu!!!!
2026-09-01 13:10:30
2
john.petro20
John petro :
🙏🙏 una saut zr dada yg
2026-09-04 06:00:01
1
user3226553214241
awa phiri :
nimejifunza.heeee
2026-09-01 15:31:07
4
odindo40
McOdindo :
huu ndo ukweli
2026-09-08 13:06:09
2
zuhura170
zuhura170 :
Shukran dada kwa neno sahihi kweli
2026-09-05 20:44:27
2
bigenimana30
Bigenimana oda :
haikuwa riziki yake
2026-09-02 07:26:15
1
hashimumustafa
kimomwe :
inafanana na yangu
2026-09-02 10:23:20
1
liberatusmmas
Liberatus Mmas :
asante kwa mafundisho yako mazuri kwa jamii, hasa wanawake, ili mwenye maskio na asikie asante
2026-09-04 07:00:01
1
hanifas44
hanifa salimu :
ukiyasikilz ya mtandaon wanakuchangany kir mtu ana bahati yke. utakuta kuna mijitu inaitikia tuu ee nikwer
2026-09-08 13:01:05
2
user7406720665761
hazadi :
Asante sana dada
2026-09-01 12:56:23
2
asherimtweve
asherimtweve :
Mke wangu aliondoka hivyo hivyo akiwa na Watoto wawili na tuliishi Miaka 11.Niliumia,niliteseka na nilimuomba Mungu anipe ujasiri.Mungu aliniambia"Ya kale yamepita!Tazama yamekua mapya.Ndipo nilianza upya Tena na Mungu akawa msaada wangu na Sasa Ninaendelea mbele.Watoto ndio wanaoumiza zaidi
2026-09-08 08:34:10
3
evaline757
Evaline :
duu inauma
2026-09-02 07:51:11
1
user9878260590365
rinnah ♥️ :
Asante kwa elim my sister
2026-09-02 07:26:04
1
user10273558885247
user10273558885247 :
da nimejifunza
2026-09-01 13:31:45
1
rehemandalu562
rehemandalu562 :
Asante dada
2026-09-02 07:34:06
1
To see more videos from user @antsuusimulizi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About