@bashe.farm.tabora: 🇹🇿#daresalaamtz🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿 #tanzaniantiktok🇹🇿 #arusha #dodomatanzania🇹🇿

Bashe Farm Tabora🇹🇿
Bashe Farm Tabora🇹🇿
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 01 September 2026 11:39:09 GMT
49965
2277
183
257

Music

Download

Comments

makandagregory
@Father G🇹🇿 :
mm graduate food science and technology naweza pata nafas apo kwa upande wa milk process control and it's technology
2026-09-02 10:00:43
0
user9916171870199
user9916171870199 :
hongera sana my boss you have shown the difference
2026-09-02 08:54:39
0
novos.horizontes5
Novos Horizontes :
wait. this belongs to the agricultural minister?? impressive
2026-09-02 06:30:40
0
liqourwinesandspirits
Musoma Distributors :
Congrats
2026-09-02 02:06:11
1
kenanmligo
Kenan :
Bashe wewe ndio kielelezo cha Kilimo..unatimiza Ndoto yako..watu wasipokuelewa basi inabidi ujielewe mwenyewe tu..👏👏👏
2026-09-02 08:36:30
10
wiseafrica_travel
wiseafrica Travel :
huyu ndo waziri wa kilimo na .mifugo sasa anayetakiwa ata akikueleza kitu utakizingatia uko field anajua asemacho
2026-09-02 10:05:21
3
jumaamichael
jumamichael :
Safi sana home boy mkulima halisi.
2026-09-02 08:28:59
1
officialelly92
GRENADE ACTIVITIES :
vizuri mwenyez mungu akutie nguvu ya kukikuza
2026-09-02 04:22:26
5
manjul.maah
Manjul maah :
Utaratibu wa kupata kazi ukoje boss Nataka nafasi kwa ajili ya mdogo wangu yupo huko Tabora
2026-09-02 09:06:36
1
karimmadege5
karimmadege5 :
Hongera sana Mheshimiwa
2026-09-02 05:06:24
1
gabbymunga
Gabb :
mimi nauza viwatilifu vya kuogeshea mifugo na matibabu nipeni tenda
2026-09-02 11:20:22
0
naftali.ndekeja1
Naftali ndekeja :
Kwan youghrt tayali ziko mtaaanii tuweke order
2026-09-02 07:08:31
0
raha_danny
Raha :
hongera kwa Bashe farm huu uwekezaji kama wa ulaya huko
2026-09-02 09:48:13
0
nolimitdesign.1
Larry :
boss naomba kazi
2026-09-02 09:53:31
0
dhimusha
Dhia muhammad :
Tatizo mmetupandishia bei ya maziwa, na wengi tutashindwa kuyanunua hayo maziwa
2026-09-02 10:04:21
0
salum.msina
Salum Msina :
ongela Sana boss.kuturetea ajira kwa wakazi wa tabora.🙏🙏🙏mungu akupe uhai mrefu🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥
2026-09-02 07:08:43
0
caslamthrus
casthruas :
naweza kutembelea???
2026-09-02 10:28:18
0
ndigamdoe3
ndiga mdoe :
Safi sana. Hakika wewe ni kiongozi wa mfano
2026-09-02 09:33:49
0
endreww001
endreww001 :
safi sana asee 🔥🔥🔥
2026-09-02 05:48:20
0
user7847674605042
salma :
hongera sana boc kitu kikubwa sana hiki
2026-09-02 09:47:53
0
farmersambassadortz
HEKE :
Maziwa nayapataje
2026-09-02 05:39:06
0
user1761728372744
Baba Saj :
Mbona Sokoni hatuyaoni hayo Maziwa hasa Dar?
2026-09-02 07:15:11
0
alikoneema1
ney :
Adi raha Tanzania inaenda another level kimataifa Mungu aniwezeshe nije nijifunze namna nzl ya kutengeneza mtindi safi.
2026-09-02 08:47:21
0
mukalahqubaty
King abdillah :
Ila kwa hili kaka yangu umeweza maziwa ni mazito mno yani hili shamba naliombea mungu liwe kubwa liinue watu wengi liwape ajira vijana wengi webeja kulumba wa mayu
2026-09-02 09:37:03
0
josephkiyenze135
Daily.Hustles :
Naweza kutembelea Huko Kujifunza KUHUSU malisho ya chakula
2026-09-02 09:39:16
0
To see more videos from user @bashe.farm.tabora, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About