🤣🤣🤣 wambia kaka it's true daaah Maisha haya chief ady nashindwa aki
2026-09-01 11:56:49
2
chingahtz508 :
kk weeeee Umetisha brooo mia ju ya mia
2026-09-01 13:11:53
2
0747924591 :
respect bro
2026-09-01 21:44:59
0
🦋SUNNY🇰🇪🇨🇭 :
Maisha ni ngumu jamani🤔
2026-09-01 11:52:43
11
Royd Yanick Bonface 23 :
Dah ilaa hapa kaka🙌🙌 au wewe nimimi kasoro pesa tu ndo sina🤣
2026-09-01 12:26:08
6
Chris mwema :
tell them brother
2026-09-01 21:39:06
0
masaga :
English
2026-09-01 11:53:17
0
joel :
Umenikumbusha mbalii sana brother 😭💔🤲
2026-09-01 20:39:56
1
Joseph Zephania :
Duh kweli bro.maisha ni safari
2026-09-01 12:36:38
1
Abel Jonathan Irakoze :
hiyo nayo hawana cha kutuambia
2026-09-01 13:54:16
1
Aroun Japani :
kama we mojawapo piga like apa ❤️
2026-09-01 14:17:21
1
Joao Tushara :
ni mbaya
2026-09-01 22:17:02
0
souzanvicky :
Maisha mtihani mkubwa sana
2026-09-01 22:23:51
0
𝒜𝓁𝑒𝓍 💖 𝒱𝑒𝓃𝒶 👦🏻 🇰🇪 :
Mtaa hauna huruma na mtu aliyetatoka njia, lakini ukijifunza kucheza na karata zake vizuri, unakuwa mshindi. Baki macho, jilinde, na uongeze bidii kila siku! 💯🧠🔥#ElimuYaMtaa #BusaraZaMtaa #MtaaSays #StreetSmart #ManenoYaBusara #TikTokKenya #ElimuYaMaisha #AchaPotea
2026-09-01 12:37:09
1
Richie✨ :
kabisaaaa
2026-09-01 22:18:41
0
moses kanaya :
mbona wanikumbusa mbali kaka
2026-09-01 13:48:21
1
young man :
kwl kabisa kaka
2026-09-01 11:53:01
1
Brian Kotieno :
Chiefu unasema ukweli my mentor
2026-09-01 13:34:28
1
user9309226140780 :
Aii kweli mimi ndio huyu hapa yaani ndugu hadi kukanyaga chini bila kiatu kila nikienda shuleni
2026-09-01 14:14:29
0
Paulo joshua :
kweli kabixa kaka umenikumbuxha mbali
2026-09-01 22:21:31
0
jeshi bress 0689536583 :
nakubali brother maicha yau kweli
2026-09-01 22:25:13
0
Edson festo :
tupo kaka 😢😢😰
2026-09-01 21:48:06
0
Church 🔔 boy :
Nakupenda Sana kaka
2026-09-01 21:45:50
0
@joe :
i used to do it 😭😭😭
2026-09-01 22:20:11
0
To see more videos from user @chief_godlove, please go to the Tikwm
homepage.