@zakariasaleh19: RAIS DKT. MWINYI: NCHI ZA NAM ZIUNGANISHE SAUTI KUTETEA MASLAHI YA PAMOJARais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amezitaka nchi wanachama wa Harakati za Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM) kuunganisha sauti na misimamo yao ili kuongeza ushawishi katika maamuzi ya kimataifa na kutetea maslahi ya mataifa yanayoendelea.Rais Dkt. Mwinyi ameyasema hayo leo, tarehe 01 Septemba 2026, jijini Belgrade, Jamhuri ya Serbia, alipowasilisha hotuba kwa niaba ya Rais wa

Zakaria Saleh
Zakaria Saleh
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 11:49:42 GMT
845
17
2
1

Music

Download

Comments

ali.jadu8
Ali jadu :
kisha makamu wa raisi wa jamuhuri awe anashulikia mambo ya ndani ya tanganyika ili ionekane na mambo ya muungano ila kwa zarura yoyote iwe inasimamiwa na raisi wa zanzibar kikatiba kwa kutokuwepo rais wa jamuhuri ata akifa izuiliwe nchi na rais wa zanzibar mpka ipigwe kura ya mpito kwa ngazi ya uraisi wa jamuhuri
2026-09-01 15:24:15
0
ali.jadu8
Ali jadu :
huu ndo muungano wa ndoto yangu akipata zarura rais wa jamuhuri anawakilishwa na raisi wa zanzibar 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-01 14:59:14
0
To see more videos from user @zakariasaleh19, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About