@trtafrikasw: Yuko wapi Nchimbi? Wiki moja tu baada ya kujiuzulu nafasi yake ya Makamu wa Rais wa Tanzania, Emmanuel Nchimbi ameondoka kabisa kwenye macho ya watu. Mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka kwake. Je, Nchimbi atapatikana kukabidhi rasmi majukumu na taarifa za ofisi kwa makamu wa rais mpya Deogratius Ndejembi?
TRT Afrika Swahili
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 12:09:03 GMT
Music
Download
Comments
Nyamboya🤴 :
Mungu ona Tanzania wananyo tesana 😭😭😭
2026-09-01 13:55:53
26
Mtukufu_Jay_Zone🙏 :
Waacheni Wanyanyase Watu Mwisho Wao hupo Kira Jambo Linawakati wake
2026-09-01 13:30:01
66
Shwaaah ❤️🏃🏾♀️➡️ :
Hivi bado huwa na jiuliza tu maswali mengi hivi polepole ali potelea wapi 🥺
2026-09-01 13:59:23
43
Tina :
Me sina neno imradi mama yangu najua yuko nyumban na anaipenda ccm basi
2026-09-01 15:08:43
10
mtoto wa mama zainab :
ccm bara wame mtelekeza ndugu yao
2026-09-01 13:43:12
11
hild :
Rest in peace my father Dr Magufuli I miss you soo much😭😭
2026-09-01 15:53:39
0
👒poshi lee🫦 :
Mmeanza kututia mashakani mbonawatu wema huondoka bila taarifa
2026-09-01 15:00:50
8
neria_19 :
Mungu amlinde tu ❤️
2026-09-01 14:13:47
4
Agachoprah💞🎀💍 :
tayare huyo kashapelekwaaa panapo husika hawachelewi
2026-09-01 13:55:19
2
Eliano Mapianotz :
kashatekwaaa huyo msihangaike kwani ccm wenyewe si walishasemaga kua mtu akiwachokonoa Wana mpoteza nanukuu tu sio maneno yangu
2026-09-01 13:06:01
17
KISIWA CHA UPWEKE :
watu ndo wabaya dunia siyo mbaya
2026-09-01 13:33:45
8
Baba G 💪 :
2026-09-01 14:45:51
2
Elitreysong🇹🇿 :
defense kwanza japo usalama wake bado utakuwa mashakana sana ikiwezekana mchimbi akae nje ya Tanzania mpka raisi aliyepo amalize muda wake
2026-09-01 13:14:14
12
it's zay@ :
😭😭yu wapi kipenz chetu jamni😭😭😭
2026-09-01 14:09:34
4
shery my :
kawaulize wenyewe hao ccm sisi haituhusu acha wauwane qenyewe
2026-09-01 15:44:53
2
uhuru :
mwache aende bhana
2026-09-01 14:56:33
0
TRIPLE L :
nilisema mimi hawezi kuwa salama ila daah kama kunajambo lolote baya wamemfanyia Mungu ata shughulika nao
2026-09-01 14:47:57
5
OfficialYaa/ :
mbona uyo imekua mapema kwake duh nchi yangu
2026-09-01 14:33:48
1
Abdulhamid Al'abry :
we unataka umuone ili iweje
2026-09-01 14:25:03
1
user5225858233099 :
Mwandishi wa habari na chain nahisi sio sawaa
2026-09-01 14:23:28
1
@bi one A-113 TZ🇹🇿 :
kaenda marekani🤣🤣🤣🤣
2026-09-01 12:58:42
1
SAVAGE⚪️ :
mwaka 2069
2026-09-01 14:21:48
0
lumwagike :
kaenda kura zake rikizo ulaya
2026-09-01 15:52:08
0
To see more videos from user @trtafrikasw, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.