@cwgchiwaga: Katika kesi inayomkabili Ostazi Juma na Musoma dhidi ya Sheikh Nurdeen Kishk ambapo mahakama imesema atalazimika kulipa Shilling Bilioni 5 za ki Tanzania endapo hatothibitisha tuhuma alizotoa dhidi ya Sheikh Nurdeen Kishk.
ndio kwanza tumeanza[Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-07 11:59:44
0
Hossein Mbonde :
mahakama fanyakweli ili iwe fundishooo
2026-09-06 18:49:34
16
Luambano Rukia :
safi sana..iwe fundisho kwa wengine wanaowachafua mashekh....
2026-09-07 07:45:56
3
JuBeLaY :
asipo fungwa jela,basi TZ akuna mahakama
2026-09-07 03:04:39
4
MYKThe Legend :
Kama madai ni ya kweli, mko tayari kumlipa Ust. Juma Musoma
2026-09-07 05:34:38
1
subira yamungu :
akishindwa kulipa afungweee jelaa
2026-09-06 05:15:34
8
user8431993055513 :
fanyakweli iwefundisho kwa wengine
2026-09-04 13:06:43
12
HUDHAIFA :
Mimi kwa uono wangu naona huyo bwana juma na musoma anatafuta tuu umaaarufu kwaiyo shekh Nuru din kishk amuachie tuu mungu kwakua yeye ni kiongoz wa dini na dini watu kama wakina juma walishaongelewa saana aina maana malipo atayakuta kwa allah
2026-09-07 05:54:23
0
MAZRUI HAIR OIL :
Safi sana
2026-09-07 02:30:38
3
😍 :
kunao hukumu ya kupewa lakini sio kwa fidia ya 5 B hio nitamaa ya pesa
2026-09-07 07:31:39
0
Abri Said :
ukisamehe sana mwisho utadhulumiwa.
2026-09-07 05:07:46
0
Hamina saidi :
na akishidwa kulipa jela hatuwez kukubali kumdhalilisha shekh kias hicho
2026-09-07 03:07:50
3
Safia Mketo :
sahihi kabisaa asituchafulie
shehe wetu kishki
2026-09-07 05:30:19
1
william.tz.12 :
Mungu anasema tusameeee ko yeye anae mtuumu akimsamehee shelikali ina budi ya kumfanya alipe wala mahakam imlipishe yeye amemsameee mambo ya kulipa bili5 ataki utajili mjenge msikiti ndo nimehamua mimi kam mim
2026-09-01 17:28:58
0
user5379553388054 :
amemchafuwa shekhe wetu san mm nimeumya san ila sin uwezo kumsaidiya ila allah nimkubwa atatenda haki inshaallah alla akuhifadhi hadi pepon aamiin
2026-09-07 06:05:36
1
Dulla Japeing :
Safi sana Mh. wakili, huyo promota wa Miziki anayetukana mashskhe mitandaoni, ni vyema sheria imfundishe namna bora ya kuheshimu watu.
2026-09-06 19:35:55
2
Mirajih Abdul :
sasa yeye si anasema anauhakika na hayo alio lopoka sasa anakwepa nn si aje alete ushahid
2026-09-06 19:52:05
1
Jamal Mohamed :
nimemwelewa wakili kishki hataki pesa anauhakika atashinda alipe gharama za kumlipa wakili
2026-09-06 19:24:04
1
المهاجرون Almuhajirun kangemi :
yuko nairobi kivipi? kwanza nairobi anaijua?
2026-09-06 06:46:29
1
saidi mayaka :
Tena bilioni 5 ni ndogo angesema kumi Kwa sababu huyu shekh sio mtu wa kawaida ni kiongozi Tena wa dini sasa kama anazushiwa hivyo inamaana amechafua dini yetu
2026-09-07 10:01:02
0
Mama Naa :
kama bilioni tano pesa nyingi bas na atowe ushahidi
2026-09-07 12:28:17
0
Suda the mamy :
mahakama haikimbiliki bora aje tu alete huo ushahidi
2026-09-07 11:25:59
0
Nnchu nikwavo :
Sawa kabisa
2026-09-07 12:52:29
0
Shaisom :
Hii imeshamvimbia 😂😂😂
2026-09-07 10:39:27
0
Mariam Kamwanya :
safi sana
2026-09-07 10:25:00
0
To see more videos from user @cwgchiwaga, please go to the Tikwm
homepage.