katika kitabu cha isaya 9:6 ina shuhudiya kwamba yesu ni mungu.
2026-09-01 15:19:03
2
user4281724700885 :
huwezi kumtenganisha Mungu na Yesu, aliyemuona Mungu amwmuona Yesu, alliyemuona Yesu amemuona Mungu.
2026-09-01 19:16:03
0
Sczcesny :
hakuna sehemu kwenye biblia Yesu anaitwa mtoto wa Mungu, Bali ni Mwana wa Mungu. hivi ni vitu viwili tofauti kabisa
2026-09-02 16:26:11
0
kingleges :
muulize iv uwana wa yesu kwamungu na uwana wa binadamu kw mungu unafanana maana anafanya viumbe vyote pamoja nayesu 2posawa simuliz mbonaunashindwa kuuliza maswali yamsingi
2026-09-01 21:20:03
0
Babake omar :
muelewe anaye kueleza wacha kubadili maandiko aliitwa mungu na hakukataa
2026-09-02 05:28:32
0
mubeen :
simulizi siku izi amekuwa mpole sana 😂😅😂😅
2026-09-01 20:52:16
2
lenard. lab nexs :
kwa binadamu hana binadamu mwenzake nijb
2026-09-05 13:09:10
0
Peter Ibrahim :
2026-09-02 20:06:59
0
Lily Gift :
we all belong to God
2026-09-02 20:21:11
0
Hassan lewa :
kila mtu niwamungu 😂😂😂
2026-09-02 18:03:17
0
Abawa :
Kwahivyo mtoto wa president Ni president?
2026-09-03 09:48:37
0
Dr saleh stambuli Mohamed :
Amina Amina Aminaaaa yarabil'allamina ya cheikh
2026-09-04 15:42:08
0
mkristobaraka :
Amen maandiko yapo wazi. Ni kweli kwenye bibilia hatupati miungu watatu katika umoja mungu ni mmoja aliye baba na yesu kristo ni mwana wa mungu.
2026-09-04 07:01:58
0
Bienvenu Kalunga :
cheikh kessede bigwa mazingue wa Congo Allah akulipe mema cheikh wangu 👍🥰🥰🥰
2026-09-04 08:49:48
0
Fety :
Mtoto wa Rais ni Rais???
2026-09-01 14:17:57
0
kester :
allahu.akbar
2026-09-02 19:47:40
0
Ezekiel B :
huyu mwalimu mafundisho yake yanapatika wapi kwenye mitandao na anaitwa ajy
2026-09-02 10:11:38
0
Peter Ibrahim :
2026-09-02 20:07:45
0
Bando la Yesu :
Qurani 4:171. Ukitoa Neno la Mungu na Roho ya Mungu, kwa Mungu una bakiza nini maana Mungu ni Roho. Pia soma ujanja ulipo 43:81qurani
2026-09-04 17:57:30
0
Hassan Islam :
hata mayahudi pia wamekataa kuwa Yesu ni mungu au mtoto wake
2026-09-05 03:49:18
0
user178179529130 :
Mnyama ataweza kuwa na mnyama?
2026-09-02 20:31:46
0
user9659784611212 :
😂😂😂
2026-09-04 14:13:38
0
To see more videos from user @kinagaubaga2, please go to the Tikwm
homepage.