naomba MUNGU anipe pesa zakunisaidi me na family yangu nipate mume mwema pia
2026-09-01 19:02:31
2
Bree :
niombe mtumishi wa Mungu, nataka amani kwa ndoa yangu,kazi,afya yangu na watoto wangu,bwana hawaje tabia mabaya,pesa ikae kwa mkono wangu
2026-09-02 21:10:38
0
hellenjoe :
niombee naumwa na tumbo pia naomba kazi mtumishi
2026-09-02 06:56:20
1
Da Loy beauty salon :
nifunguliwe kila kilichofungwa slini
2026-09-01 20:53:42
1
user7277131196926 :
Prophet niombee nyota yangu irudishwe,niondolewe uchawi na mikosi na biashara zangu iwe na faida.Amina.Ahsante Nabii
2026-09-02 07:56:33
1
Goodness karugendo :
naomba uniombee nipate kazi
2026-09-01 16:14:54
1
purity mercy ✨✨ :
nataka , amani , jumbani , kwetu, , bro wangu , na. dada ,, vita tu , Kila siku, pia , nataka , nikuwa , KAZI zuri , aki ,, , mungu ,, ni mwema Sanaa 🙏🙏👏
2026-09-02 06:55:00
1
salosh :
Good Health
2026-09-02 19:22:36
0
keziah✨ :
hallelujah 🙏 niombee ufanisi upenyo kimaisha 🙏
2026-09-01 20:00:21
1
hortence selina :
nataka uni ombeye ni pone tafazali mutumishi tuna umwa mie na mtoto wangu
2026-09-01 19:52:06
1
Grace rosette 🏵️ :
Mi nataka number yako tuongeye inbox Kuna kitu Moja natak kuambiya
2026-09-02 21:28:15
0
The Queen's Knight :
niombeye mafanyikio ya family yangu.
2026-09-02 23:06:02
0
Plamedi mianitse :
Mungu aniponye
2026-09-02 21:13:16
0
esther :
niombee neema na rehema
2026-09-02 21:11:09
0
kidoty :
Mtumishi niombee mimi na watoto wangu kuondoa vifungo vya kichawi vilivyofunga maisha yetu.
2026-09-02 21:29:20
0
To see more videos from user @prophetrogersministry, please go to the Tikwm
homepage.