kwamfano mungu anatenda jambo lake wewe ndio unakuwa raisi mbn kazi tunayo
2026-09-02 07:12:02
13
Jeremiah Mabeche :
mh hii tanzania ama nyingine watamtuliza tu hataweza kuwabg ata watanzania hawependi kiongozi anaefuatilia mambo maana ss wengi tunapenda short cut na konakona
2026-09-02 06:16:25
5
𝐷𝑒𝑒_🦁 :
Kwa hiyo viongozi wasile 🤣🤣ameyajuaje hayo yote😂😂😂
2026-09-02 05:08:44
2
Powergrid Solar Tanzania :
umesahau na soda ya pepsi mkuu😂😂😂
2026-09-02 08:04:58
9
sandali :
kaz kaz
2026-09-01 16:02:13
8
joc hope :
aghhh😆🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-01 17:39:20
2
Joyce :
game over,mwenye uwanja wake kaingia.
2026-09-02 19:32:33
0
kandwanah :
mweshimiwa Taarifa😎 😄 😄
2026-09-02 14:02:16
3
peter :
bado kunena kwa lugha
2026-09-02 08:14:09
4
Real Chacha :
duh! ndio utuummbue mheshimiwa 🥺🥺🥺😂😂😂
2026-09-02 12:19:58
2
Lulu SA :
au yule Waziri na wasanii wamecopy huku kusimama.
2026-09-02 14:27:38
3
Jovina George :
sijaelewa kosa la nani🥺
2026-09-02 14:44:35
1
Fatiima Abdillah :
😂😂😂😂😂kivumbii daah
2026-09-01 15:39:44
6
Arish .KJ :
ngoja ninywe soda ambayo gaina gesi.
2026-09-02 06:13:31
2
Andres Pirlo :
taarifa mweshimiwa 😁
2026-09-02 11:43:40
7
njozi lucas :
jamani jamani tanzania yangu hii.aibu naona mimi sasa