@eternalinternationalhq: Kisonono ni maambukizi ya zinaa yanayosababishwa na bakteria Neisseria gonorrhoeae. Changamoto ni kwamba mtu anaweza kuwa na kisonono bila kuona dalili, hivyo anaweza kuendelea kuwa na maambukizi na kumuambukiza mwenza bila kujua. Dalili zinapotokea zinaweza kuhusisha kuwaka wakati wa kukojoa, uchafu usio wa kawaida kutoka sehemu za siri na maumivu chini ya tumbo kwa baadhi ya wanawake. Usisubiri dalili ndipo upime. Kama una wasiwasi kuhusu maambukizi, kipimo ni muhimu. Tuambie, unataka Inside Your Body inayofuata tuongelee ugonjwa gani, au kuna kitu gani kwenye mwili wako ambacho umekuwa ukijiuliza kinafanyikaje?
Mimi nakosa uteute ukeni na nikifanya mapenzi napata maumivu makali na kunifanya nikose hisia
2026-09-11 22:19:43
0
black girle 🥳 :
Mimi nawashwa ukeni nikifanya mapenz nahisi kama nakunwa upele nikimaliza kufanya naenda kukojoa naumia saana nachubuka pia harufu mbaya inatoka ni nini hiki
2026-09-01 13:40:37
0
To see more videos from user @eternalinternationalhq, please go to the Tikwm
homepage.