@newsupdatemedia: "Wale ambao hawajachukua vitambulisho vyao vya taifa, twendeni tukachukue vitambulisho vya taifa, vitambulisho vipo zaidi ya Milioni moja na nusu vinasubiri kuchukuliwa, mkachukue katika Ofisi za wilaya..."-Msemaji wa Serikali Mhe.Gerson Msigwa
NEWS UPDATE MEDIA
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 13:33:23 GMT
Music
Download
Comments
TAJIRI ABBAS WAKALA MKUU :
KWANN TUNAIZIWA NIDA TENA BEI GHARI
2026-09-01 17:07:48
1
Niyeyeee :
toka 2019 naangaika mm
2026-09-01 19:45:07
0
Miss Mungure 💖🔥 :
NIDA wenyewe wanatuzuia getini
Sasa tutavipata vp
2026-09-01 16:48:42
0
JrMparee org258 :
𝒎𝒎 𝒏𝒊𝒏𝒂 𝒎𝒘𝒂𝒌𝒂 𝒘𝒂 𝒕𝒂𝒏𝒐 𝒔𝒂𝒔𝒂 𝒏𝒂𝒇𝒂𝒕𝒊𝒍𝒊𝒂𝒂 𝒌𝒊𝒍𝒂 𝒖𝒌𝒊𝒆𝒏𝒅𝒂𝒂 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒌𝒖𝒎𝒃𝒂𝒊𝒂𝒂 𝒍𝒆𝒕𝒂 𝒎𝒆𝒔𝒔𝒂𝒈𝒆 𝒖𝒍𝒊𝒐𝒕𝒖𝒎𝒊𝒘𝒂𝒂 𝒚𝒂𝒂𝒏𝒂𝒊 𝒏𝒊𝒔𝒉𝒂𝒄𝒉𝒐𝒌𝒂𝒂 𝒔𝒂𝒔𝒂
2026-09-01 15:57:56
1
telesiamollel :
sasa ikiwa tayar nimeshafanya hivyo itakuaje
2026-09-01 17:18:55
0
𝑨𝒎𝒂𝒏𝒊 𝒓.𝒎𝒐𝒍𝒆𝒍𝒍 :
Mimi sina uhakika ya kuishi Tanzania nasubiri samia atoke madarakani ndio nitakua na amani
2026-09-01 23:27:57
0
lydia :
Asante muheshiwa na sis ambao atujajiandikisha tunaomba itokee nafas tena tujiandakishe ili na sis tuwe na vitambulia
2026-09-01 19:43:04
0
Jackiekamu :
Tatzo tukienda wanasema tuende na sms sa me ni mwaka wa 5 sijawahi kutumiwa sms
2026-09-01 17:30:30
0
it's kibu 𝐭𝐳 :
je ss tumesha andka na bad ad leo avijatoka
2026-09-01 20:01:42
0
zaitun :
kila tukienda kuchukua nida ukiingia ndani unaambiwa yako haijatoka tufanye ninii sasa
2026-09-01 18:27:21
0
Clementina Allan :
kwishaa mm😂
2026-09-01 15:10:15
0
shaka zuku :
sawa mkuu naenda kesho
2026-09-01 15:01:35
0
heppiy :
tunaanzia wapi kujiandikisha
2026-09-01 16:18:46
0
william.tz.12 :
Mimi naomba wasigushe mali zangu ata nchi ikininyima kitambulisho kam nakula nalala na fanya kaz sina sida nakitambulisho nitalima kwa nguvu zangu
2026-09-01 17:23:51
0
Ong'wamwinamila bhuluda kamo :
tunachukuaje hawatupi mpaka kuhonga mkwanja yaan hela
2026-09-01 15:33:28
0
Benedict njiwa :
Munatuchnganya tu kila nikienda waniamboa hata kutengenezwatu hakijanza
2026-09-01 16:56:05
0
user1147574397063 :
mnazingua bhn nadaiwa chet kat sijasoma
2026-09-01 16:41:27
0
Wegenstar Nyamoni :
shida unaweza kufatilia wiki nzima bila mafanikio kwa nini musiweke utalatibu wa kufika unapiga picha na unapata kitambulisho
2026-09-01 16:34:53
0
Miss Mungure 💖🔥 :
waache kutuzuia getini waangalie jina langu waniletee bunju nimechoka kutumia garama kufika kawe na kurudishwa
2026-09-01 17:40:31
0
To see more videos from user @newsupdatemedia, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.