@jukwaa.la.maarifa: ‎Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Amezungumzia Juu ya Kua Makini Kwa Baadhi ya Wanaume Ambao Kwa Kiasi Kikubwa Wamekua Wakiwachukulia Kawaida Baadhi ya Wafanya Kazi Wao Ndani ‎ ‎Sababu Wanaamini Mfanyakazi Wa Ndani Ni Ngumu Kua Na Ukaribu Na Mke Wake Sababu Labda Kijana Wa Kazi Avai Vizuri ‎ ‎Lakini Umakini Ni Jambo La Kulizingatia Kutokana Na Awo Watu Wawili Wanaweza Kutengeneza Ukaribu Kitu Ambacho Si Kizuri Sababu Muda Mwingi Mkeo Na Mfanyakazi Wako Wa Ndani Wamekua Wakishinda Nyumbani Kwa Pamoja ‎ ‎Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Anawakumbusha Baadhi ya Wanaume Ambao Wapo Katika Ndoa Kuhakikisha Wanafuatilia Kwa Ukaribu Mwenendo Wa Mkeo ili Uweze Kufahamu Baadhi ya Vitu Ambavyo Kwa Kawaida inakua Ni Ngumu Kuweza Kufahamu

JUKWAA  LA MAARIFA🕌
JUKWAA LA MAARIFA🕌
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 13:38:51 GMT
3743
244
0
20

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @jukwaa.la.maarifa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About