namshukuru mama angu alishtuka mapemaaa akanipeleka boarding maaan now ningekuwa na watoto watatu na wote baba tofaut maaan najijuaa me
2026-09-02 07:15:52
470
niffah tz 🌹🍁 :
kitamboo san stk mwanang awe km mm🤣😠
2026-09-01 22:11:30
234
king@ muuh🐦🔥DML🔥🔥🔥 :
waacheni wanafunzi wote waje kwangu😆😆
2026-09-02 05:12:51
170
disera :
ambao hatuja wahi kuwa hivi tukae wapiii
2026-09-02 14:12:42
327
MANOMA🙈🤟👑👑 :
Waislamu wenzangu Assalamualaikum
2026-09-02 07:58:42
144
damasa boy :
Top up updated
2026-09-03 18:57:27
0
@Joboy :
mix by yas njoo
2026-09-02 22:14:51
0
LIBRA🔐💕QEEN🦋 :
Sijawai pitia haya jmn sijui ndo nilikuwa zuzu 😂😂😂
2026-09-02 09:11:28
61
𝐓𝐡𝐮𝐦𝐞𝐫448 :
them daiz😂😂😂😂
2026-09-03 12:34:59
0
Lvely🫣 :
thanks god 🙌
2026-09-04 03:25:56
0
Black soja :
nachoka mm
2026-09-03 15:39:56
0
𝐌𝐓𝐀𝐅𝐔𝐓𝐀𝐉𝐈2️⃣6️⃣🇬🇧🐇 :
Naomba mnisadie kumtag mama gwajima😂
2026-09-01 22:37:23
38
ugk platnumz :
umetishaaaaaaaa sna
2026-09-03 08:35:58
0
BAMBII🌸 :
Mama gwajima mumtagii aje
2026-09-02 11:26:19
26
sophia bashir :
hongera mwaya usikubal kuruka stage
2026-09-01 16:57:02
37
🦋🧸Naj de sweet🧸🦋 :
mimi nilikuwa natoka nyumbani na baibui na ijabu 😁😁 alafu nikifika mbele navua nabaki na kipensi na kitopu 🤣🤣🤣
2026-09-02 15:48:52
6
side mnyamwez :
umenikumbusha mbali sana ilikua ivi nilikua darasa la tano nilikua mtukutu sana ikafikia wakat nikashindikana had kwa walimu nakumbuka kuna iyo siku nilimshika demu ziwa alikua mwanafunz mwenzang akaend kushtak kwa mwalimu akajakuniita nikagoma akarud tena kwa mwaliku akamtuma mwanafunz mwengine aje kuniita nikagoma kwend akaja mwenyew nilipomuon nikatoka na dirishan madarasa yetu ayakuwa na nondo yule mwalimu akanifukuz shule kwa utovu wa nizamu nikawa naogop kusema nyumban bas nikawa siend shule naishia kwenye jumbo bovu ambalo alijaisha nikiaga naend shule nabeba beg natia nguo nikifika nabadilisha nikamalz kama mwezi ivi sasa kuna mtu kumbe alikua ananifatilia ukitaka kujua iliishiaje comment nitaendelea
2026-09-02 11:24:04
6
lovie signature :
Kuna siku kaka angu anifuma somewhere na wanajua nipo shule na asbh nmetoka na uniform😂😂😂sitaki kuwaelezea kilichotokea ila Mungu alinipa nafasi ya pili ya kuishi😂😂
2026-09-02 09:35:59
13
Diana Charle :
Mimi nilikuwa kiboko ila sijawah kuacha kwenda shule au kupiga chimbo yaan naenda shule kila siku ila weekend nayo nakwambia naenda shule kumbe beach mpk wauni wakanipa Mimba 😂😂
2026-09-02 13:14:08
8
Msechu NO 1 :
hii ngoja niitunze itanisaidia kweny kesi nkiwa mahakamani 🤣🤣🤣
2026-09-02 06:34:29
7
zp :
Michelle yangu ilikuwa hiyo sasa najuta🥰
2026-09-01 17:05:09
5
🌍Natalia bilaly❣️ :
kitambo ety ndo vitu vyetyuu hvy
2026-09-01 16:45:10
5
katoto cute :
daaah hii michez nimeifany san
2026-09-02 06:57:56
6
Omary nenga :
duuh kumbe
2026-09-02 20:52:25
0
To see more videos from user @mrs_ngobah, please go to the Tikwm
homepage.