@rematv_online: Msanii @diamondplatnumz katika show yake aliyoifanya Rwanda alinusurika kumuangusha Dancer wake @ashurey_tz baada ya shabiki kumvamia na kumrukia kabla ya walinzi kuja kumtoa kwanguvu na haraka. Upendo wa Mashabiki.

REMA Media Group
REMA Media Group
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 14:00:52 GMT
75228
2066
152
83

Music

Download

Comments

user4228872961224
Mom Daylan 🧑‍💼🥰🥰🥰 :
hakumwangusha alimshikilia km kipenz chake 🤣🤣🤣
2026-09-01 16:38:36
269
miss.hellen43
Aiem 💖Hellen 💟 :
Kuna mtu kasema et hakumuangusha alimshikilia kama kipenzi chake😂😂😂
2026-09-01 17:20:43
274
rominakim
romina :
Shabik katumwa na Zuchu 😁
2026-09-02 08:14:40
38
rinnahvany
Rinnahvanny :
Shabiki kateka baraka🥰
2026-09-02 14:03:02
1
kidambiomari473
🦋Aiem Amermy🦋 :
Lkn Shabiki Alikua Anataka Nn Sijamuelewa😆😆😆
2026-09-01 21:50:05
40
mariamkileo
MAMU💎 :
ila huyu shabiki mmmh😅😅
2026-09-01 17:57:28
29
mgayo
pendobeauty👩‍❤️‍👩❤💕 :
😂😂sasa kamuangusha wapi na nilisubili nione anavoanguka
2026-09-01 17:07:09
86
shaq62642
shaq :
nipo hapa diamond na ashurey kaz kwao Kun kaz
2026-09-01 15:59:06
26
hammyamony
H@mm¥_€@$h :
Me Nimependa the way alivyo Mdaka Ashuley Na Kumlinda Asiumie🥰
2026-09-01 22:03:26
16
katorosweetheart
Katorosweetheart :
Kamprotect vzr nyie 🥰 kupendwa raha
2026-09-02 11:31:14
1
samahkhan001
~Zayn💞~ :
Uyo shabik aliona hii nd nafas sahihi kwake
2026-09-02 05:51:20
1
christy_tee45
it's me :
shabiki hakutaka zuchu alie tena🥹
2026-09-02 09:48:15
2
safiyafifi68
Safiya🎀🦋 :
Ila nmecheka jmn so kwa ushabiki huu wakukumbatian stagen ghafla😂
2026-09-02 06:43:04
1
suzana.japhet
mom nicole❤️ :
ASHUREY anabebeka hadi raha🥰
2026-09-01 17:39:58
8
elizabeth.gadiel
lizz :
Kuna watu wanapenda kujiamulia mambo jameni😂
2026-09-01 19:44:47
7
akkoclan37
akko🔥🦋 clan :
10/10
2026-09-01 17:57:07
1
madame.d387
madame d :
penzi la moto 🥰
2026-09-02 10:17:08
1
ms_joujuou
J🤎 :
Shabiki alitumwa na ashi 😂
2026-09-02 04:44:07
3
mondela211
Mondela :
😂😂😂😂 jman kamuangusha wap au sioni
2026-09-01 19:24:51
1
lucyalex32
LUCY💋💗 :
jamani ila waja 😁😁
2026-09-02 14:43:59
0
agnes.emanuel96
Agnes Emanuel :
shabiki ni mpenz wake na ashurey
2026-09-02 12:41:37
0
To see more videos from user @rematv_online, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About