@dr.tungu: Faida za Manjano katika Mfumo wa Mmeng’enyo wa Chakula Manjano (turmeric) yana kiambata kinachoitwa curcumin, ambacho kina sifa za antioxidant na anti-inflammatory. Faida zinazoweza kusaidia mmeng’enyo ni pamoja na: 1. 🟡 Kuchochea uzalishaji wa nyongo (bile) – Nyongo husaidia mwili kusaga na kufyonza mafuta. 2. 🟡 Kusaidia mmeng’enyo wa chakula – Inaweza kusaidia utendaji wa kawaida wa mfumo wa chakula. 3. 🟡 Kupunguza hisia za kujaa tumboni na gesi kwa baadhi ya watu. 4. 🟡 Kusaidia afya ya utumbo kutokana na antioxidant na anti-inflammatory properties za curcumin. 5. 🟡 Kusaidia mwili kupambana na msongo wa oxidative unaoweza kuathiri seli za mfumo wa chakula. #afya #vidondavyatumbo #viraltiktok #fypp #acidreflux