@chandolaptops: Hiyo ndo account official ya family @Hamedy family #tanzaniantiktok🇹🇿 #rwandatiktok🇷🇼 #kenyantiktok🇰🇪 #southafricatiktok🇿🇦 #ugandatiktok @iqram_zil0w
Sasa mtoto mwenyew Kama mzungu jamn Ila sisi wanawake 🤣🤣🤣
2026-09-01 14:38:53
121
gabbyelizabeth :
mtoto ni mix by yas
2026-09-01 14:42:26
130
ushi685 :
DNE ndio kila kitu mfanya DNE basi
2026-09-01 15:16:01
46
KIDOO🌹🤏🏻 :
nilijua baba mtto ni mzungu 😂😂😂😂
2026-09-02 11:01:34
22
Clemmy_grapher :
Mzee Ana igiza kabisa 😅😅😅
2026-09-01 15:35:17
17
doreen munuta :
mhhhh hapana hapana mtoto so wakeee mtanisamehee
2026-09-01 22:08:28
1
MAYRO :
Sema hyo dada aseme ukwl😂😂😂
2026-09-01 14:27:32
64
Daughter of Themistocles*🇹🇿 :
[Photo] we mzee mnafanana bhana😂😂
2026-09-01 16:30:19
17
Mama G :
dada mbona kama tunashindwa kukutetea sasa jmn?
2026-09-01 20:00:21
13
Steve :
this life no balance
2026-09-01 15:31:45
1
Ashley :
duuh mtt mwarab baba mswahil kweli ata mm nnamkataa
2026-09-01 15:17:35
33
PhinaAggy :
Mh nipo upande wa mubaba🤣🤣
2026-09-01 15:53:50
17
CH!S@LL@ :
huyo mtoto sio wa huyu Mzee dada aseme ukweli 🙌 am joking
2026-09-01 14:32:06
29
🖤Official._.(Prisca)🖤 :
Next please 🙏
2026-09-01 19:18:08
1
FamilyFlower :
Let them do a DNA test we should not judge😏
2026-09-01 14:44:55
5
Ester86 :
Huyu baba ni mweupe bhana na mtoto hiyo ni rang ya utoto tu atafifia kama baba yake, ni mtoto wake bhana🥰
2026-09-02 06:58:37
5
Halima Sami :
cjawah mtetea mwanaume lkn leo ngoja nimtetee t🤣🤣
2026-09-01 15:48:18
7
Kazungu :
Yaani kuna mambo mengine mnachukua mpaka sura za watoto, lakini ni aibu tupu. Kikubwa tukumbuke kesho ya huyo mtoto akishakuwa mtu mzima na siku moja akaja kukuta kwamba yeye aliwahi kufanyiwa hivi, unadhani atajisikiaje? Tuwe na huruma na tulinde heshima na utu wa watoto.