Labda siyo Mimi hapo patachimbika na wew dada utaniambia nyumbani
2026-09-01 16:33:04
79
Dabuya🤓 :
JAMANI hii nchi hatujawah kupumzik tangu October 29🤣🤣🤣mara Wema kajifungua, punde si punde Zuchu na baby shower hatujakaa Sawa miaka30 ya Bongo flavour na tunaanza kukaa Sawa Dotto Magari kaathirika,Dotto analet vipimo kutoka Zanzibar, mara Kuna mtu katoka kigoma na baiskeri mpaka kawe kwa mwamposa, mara police wamechukua simu ya pipytida mara Nchimbi anatupanga tudai katiba kabla hatujakubali Wema kawa single mother tunaanza kutaharuki Baba Nchimbi kajiuzulu haya tunaamka asubuhi kumbe CCM walimfukuza huyu Mzee sasa ndio nataka kutulia nakuta mwamposa kaangusha mchawi huko Arusha alikua anatoka bariad kwenda mbeya daaa hii kasheshe nayo sijakaa vzur kuna free juma jux🤣🤣🤣 cjakunywa ata chai mauwa sama ni mjamzito😂
2026-09-01 17:00:35
71
Ramsso Tz :
jaman leo nimecheka nabado niusiku saa8 dak40 usiku huyu jamaah....
2026-09-01 23:39:29
5
Minayo Abuu :
someone asked kama tuko 2030
2026-09-01 17:43:22
8
Royal HB :
ila Chado master 😅😅😅😅
2026-09-01 19:12:19
3
soso :
to be brotherhood is big process huyu ni kaka poa😂🤣
2026-09-01 18:50:46
3
🦋QUEEN🦋💜 :
huyu ni kakaangu kabisaaaaa
2026-09-01 15:29:46
136
Slim gal🦋💞 :
Ila kaka😂😂
2026-09-01 14:34:43
76
linee :
😅20/20
2026-09-01 17:46:02
7
_𝐉𝐀̈𝐍́𝐂𝐇𝐎̀_𝐆𝐎𝐌𝐄̨𝐙🍀 :
Uyu kama apewee Grammy award 🙌🙌🙌
2026-09-01 16:48:16
1
Idrisa Jaku :
respect bro
2026-09-01 22:06:47
0
didejo :
🤣🤣🤣 hii video ina vigeZo vyote vya kutrend
2026-09-01 20:01:29
11
Alone :
Pelekewa mwenyewe😂😂😂😂😂
2026-09-01 15:13:53
29
Dēē $øn😉 :
😂😂😂😂unajua nacheka kwann
2026-09-01 21:18:13
9
star vina HB :
kitengo mwenyewe hahahhahah🥰🥰🥰
2026-09-01 16:13:48
9
𝐊𝐈𝐓𝐀𝐓𝐎👳⛎ :
Hadi ww chado 😳😳
2026-09-01 14:37:29
8
moonlight kimara :
DAAAH,,, JAMANI EEEEEHH
kuna muda mchepuko wangu unanipiga matukio, mpka natamani kumsimilia mke wangu😭😭😭😭😭
2026-09-01 20:15:32
11
cute 😍 :
ukiwa na kaka kama huyu ni raha jaman 🤣🤣🤣🤣
2026-09-01 20:49:14
6
To see more videos from user @chado_masta, please go to the Tikwm
homepage.