@betizaghassani: Mwanangu Nakupa Mume #betizaghassani #zanzibar #mohammedghassani #siwachikusema #swahilipoetry

Beti za Ghassani
Beti za Ghassani
Open In TikTok:
Region: DE
Tuesday 01 September 2026 14:32:24 GMT
47502
2338
76
493

Music

Download

Comments

dododatuu
DodoDatuu :
Asante afadhali umefufanyia yetu wenye watoto wa wakike Alhamdullillah nishapata ya kuwaimbia wanangu wakipata waume
2026-09-01 14:57:17
15
watatii0
bintii🤩 :
tufanyie na sisi tuliolelewa na dada zetu wakubwaa
2026-09-02 08:51:37
13
maryamsaid500
Maryam said :
mashallah mashallah nmeipenda sana sana lkn mm nna harusi ya mtt wa kike nigeuzie iwe mwanangu nakupa mke halafu nitumie pls pls
2026-09-01 22:06:40
6
magda_tailor250
Magda Tailoring :
dah Ile ya mwanangu nakupa mke ndo nzuri bhna😮‍💨😮‍💨
2026-09-01 20:22:28
5
tauhida2696
@idah2696 :
ila ya mwqnangu nakupa mke imemata sana
2026-09-01 19:15:30
5
ahmedkiroro
Kiroro :
Ami miwa yako yote sukari tupu 🔥
2026-09-01 21:55:01
4
mariam.ally25
Mariam Ally :
Masha Allah 🔥🔥🔥🌹🫶
2026-09-21 11:57:35
1
user8329610299630
Fund mwana 🍀 :
Mashaallah nimeipenda zaid
2026-09-02 19:06:01
2
engeneerf7
As salaam Academy :
SUNO
2026-09-18 06:30:02
1
hajimagalo265
hajizo :
jamani akuna yadada mana mdogoangu nime Lea tangu akiwa namiaka miwili anapata mume jamani sio dada tena kwake
2026-09-03 03:16:41
1
wardaaly4
Rose 🌹 :
MashaAllah bismillahi MashaAllah
2026-09-20 05:29:30
1
user7028153625206
mohaas :
salaama wa salimiiiin..
2026-09-06 18:04:38
1
user6177796708848
Mr Muswaab :
MashaAllah ina mafunzo yenye mantiki kwa wanandoa
2026-09-20 19:12:27
1
kid_cholola2
Abooyeah💯 :
Ameeen
2026-09-05 19:46:39
1
monah.official2
monah official 🥰🥰 :
❤️❤️❤️❤️
2026-09-02 00:32:48
1
z.w.d8
z.w.d :
2026-09-02 01:07:15
2
_s2ahn
_s2ahn :
2026-09-01 18:04:18
1
mariammpunga
mariammpunga :
Nimeipenda
2026-09-23 20:39:59
1
user4487252458072
user4487252458072 :
mbona haijatoka
2026-09-01 17:21:22
1
ym_mora2
بن مسود ❤️ :
Yasalaaaaam ❤️
2026-09-01 15:59:19
1
saumbaruth
Saumbeez♏️ :
tuimbie na dada anamuimbia mdogo wake.jamani
2026-09-03 04:38:51
1
twahha4
🌹💝🧕بنت أمينة ♥️السليماني :
insha'llah
2026-09-02 14:39:41
1
linear2018
linear20 :
ماشاءالله 🌹🌹
2026-09-02 07:39:51
1
shaymaa_salim
user4083189351219 :
safiii
2026-09-02 06:13:14
1
shonaa944
shonaaa :
inshallah
2026-09-01 16:22:16
1
To see more videos from user @betizaghassani, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About