brother Gali sio kigezo wengine hatuna maisha ya show of
2026-09-01 17:50:21
0
Greatness :
shuuaa mze
2026-09-01 16:55:15
0
DAVID EDWARD :
😂😂 dah
2026-09-01 16:28:15
2
『♛』𝙳onnie『♛』 :
@Cench06
tusepe kwa KENYAN PRINCE
mkuu
2026-09-01 15:48:13
2
D.E.T.A.I :
Makambako 🤣! Bruh😂 that's deep😂😂
2026-09-01 19:13:46
0
Bjr :
Unahis ita buy
2026-09-01 17:52:19
0
MR TRICH :
ninja usituanze watu wa songea kaka 😂😂😂
2026-09-01 17:56:44
0
Mbussy 25 :
kwel kak
2026-09-01 15:17:37
2
vin :
Sa si u trade News Results, Subir news zitoke subir retest tia Entry😏
2026-09-01 16:44:21
2
Masabo :
Mimi ndo kwanza Niko Simiyu lakini Gold naibabua balaa na hata hiyo NFP unayosema mm niliibaraza vbaya mno ww kama unatafta watu kulingana na eneo alipo endelea😆
2026-09-01 16:36:58
2
WAMBA DI WAMBA :
Songea umeikazia sanaa😂😂
2026-09-01 16:37:54
2
Official_Abal :
hhhhhhh niga vip mwanetu
2026-09-01 16:08:24
2
Emilliano Cee🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
KENYAN PRINCE, MILLIONAIRE CAP
2026-09-01 16:03:42
2
@max_terry :
naitwa magembe nimuuzaji maarfu wa mahadiwea
2026-09-01 15:57:43
2
🫥 :
kumbe unaakili za ki begginer gari sio kipimo cha pro trader hukutumia risk management huwezi Ku risk account nzima Kwa trade moja
2026-09-01 15:57:12
1
Marcelo JR :
Sell Gold NFP on this week
2026-09-01 18:35:40
0
AHMED :
Ila mwanangu sura yako ni kituko 😂😂😂😂
2026-09-01 17:35:57
0
TransAfrica :
copy amiin fx
2026-09-01 17:03:03
0
@_fitzroy :
😂😂😂 Dm me you won't regret it
2026-09-01 14:59:09
0
To see more videos from user @cench.06, please go to the Tikwm
homepage.