@ibuu_tz: Hii ni story niliyoiandaa kwa lengo la kuelimisha na kuongeza uelewa kuhusu mambo yanayohusu Katiba na mchakato wake... Kuna mambo ambayo wengi tunayazungumzia, lakini si wote tunajua yanavyofanya kazi au hatua zinazohitajika kuyafikia... FULL VIDEO IS LOADING...... #ibuutz #mtotowarais
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.😁