@jimmyfreedomfight: #creatorsearchinsights "Viongozi wote wa CCM tunatembelea v8,Wote tunazo we V8 unaijua,Katibu mtendaji wa wilaya CCM anatembelea Toyota Hardtop harafu wanatufananisha na sisi" @POLEPOLE #freetundulissu, #katibampyanisasa,

jimmy classicy Chadema
jimmy classicy Chadema
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 15:18:04 GMT
12854
663
30
57

Music

Download

Comments

mapanda412
mapanda :
hao uliowafagilia ndo waokuumiza na hao ulio wananga ndo wanaokupazia saut kwer CHADEMA mna mbingu yenu
2026-09-02 09:53:51
8
mabadiliko53
Mabadiliko✅🥷🫂 :
Sasa mnapost hizi hili iweje labda
2026-09-03 20:37:22
3
hakihupiganiwa
Reform clasic :
kweli tumetoka mbali, namshukuru Mungu kwakuwa tunakaribia kufika
2026-09-01 17:43:43
2
mlandamulejr
mlandamulejr255 🇹🇿 🇹🇿 :
wacha nicheke
2026-09-01 22:20:03
1
mtenga60
MTENGA :
sasa kiko wapi
2026-09-02 04:18:48
1
bushman9184
Bushman :
hivi uko alipo bado anasema hayo maneno ya kuchokonoleka???Ila Hilo la Mbowe nina Cha kujifikirisha.
2026-09-27 10:23:04
0
sam.mpole93
Sam Mpole :
chadema ndio wanakupambania
2026-09-27 08:51:17
0
johannes0035
johannes :
pole haupo
2026-09-24 07:36:07
0
dallydominickgmail.com
Dalmatius P.G.F :
unaijua V8?? 😂
2026-09-02 06:37:54
1
lyimo.godfrey
Lyimo Godfrey :
Haya panda v8 sasa.
2026-09-03 16:57:54
0
amosmichaeltz
amosmichaeltz :
sawaa
2026-09-19 20:07:28
0
hijahashim
hijahashim101 :
leo hao hao alikuwa anatetea hivi alipoamua kubadilika na kuwa mkweli wakaamua kumuua wenyewe ccm wana hila sana
2026-09-01 18:10:31
2
yanini990
r.chdy :
Hapa ni wapi
2026-09-02 16:00:03
0
rafiki.msemakweli
Ahmed Michael98 :
polisi mkisoma comment hii. mwachieni hai Polepole. wahuni wanawageuzia kesi. na mwishowe dear polisi Tanzania msaada wenu ni Polepole. ukikurupuka hutanielewa
2026-09-06 18:12:53
0
mama.d4061
Mama D :
Wakati watu wana kula mlo mmoja na shida nyingi
2026-09-01 19:32:57
0
ushindigroup
ntig'a :
Akina ya maneno muhim
2026-09-04 12:08:39
0
adammuki696
muki :
sasa leo uyu awe mziri au kwqkuwa lengo lake lakuwa waziri mkuu lilifeli baada ya mauti ya mpendwa awa jamaaa awa tuwe makini na nchi yetu wqtatuchanganya awa tusije kujuta . mungu tulindie umoja wetu inshaallah
2026-09-02 07:08:33
0
hakihupiganiwa
Reform clasic :
swali langu, ivi nyie chawa wa ccm mnashindwa nini kuitetea nchi , tukashirikiana kuijenga nchi pamoja
2026-09-01 17:46:51
0
benngola1
Ben ngola :
heche anakupigania sana uko ulipo
2026-09-02 06:18:33
1
robson22368
Robson :
ila kweli usicho kichuwa ni
2026-09-27 19:46:12
0
user7829443468181
protas werbeck ndinde :
Kiko wap sasa😂😂😂😂😅😂😂😂😂
2026-09-02 01:16:01
0
davidll997
D lolo :
"yule hamfahamu mbowe" zingatia hayo maneno
2026-09-22 04:42:34
0
mohamedngaula
Babu kile :
🤣🤣🤣🤣 leo huyu jamaa yuko wapi? tusimalize maneno
2026-09-01 17:34:03
1
user8867292932830
simple but heavy :
pita barabarani leo tukuone na hizo gari zako
2026-09-10 12:07:15
0
kulwabakari4
kulwabakari4 :
🥺
2026-09-01 19:53:08
0
To see more videos from user @jimmyfreedomfight, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About