@techtopia__: Endelea kutufatilia ili kujifunza zaidi, Karibu kujiunga kwenye group, Link ipo kwenye bio👆 #tiktokviraltrending #techtopia #fyp #youtube #tanzaniantiktok🇹🇿

Techtopia
Techtopia
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 15:23:16 GMT
13110
655
32
8

Music

Download

Comments

sheki_maphone
Sheki Maphone :
Hivi tunanunua data from mobile operator au mobile operator anafacilitate way to reach a certain amount of data from savers?! Please kindly answer this ili tuoje sehemu gani tunawekana sawa!
2026-09-01 20:57:41
2
yahyabreezy1
Yahya Breezy😎 :
yas na airtel, naongea by experience ikabaki mb 100 nashuka 3g
2026-09-02 05:09:19
0
mirajiismail2020
%i'm MIRAJI_ :
yas & halotel
2026-09-01 19:50:09
1
shebdady5
𝙎𝙝𝙚𝙗𝙙𝙖𝙙𝙮13.. :
YAS haooo
2026-09-01 18:47:34
1
zombi120
Zombi120 :
Yas ndio wana hayo mambo
2026-09-01 16:33:10
7
victoris_pawaa
pawaa :
zinaniokoaga sana hizo hasa whatsapp maana najua kuzitumia
2026-09-01 19:15:05
3
barakah_fx
barakah :
nikisoma alafu nikakataa kusaini izo police za mtandao watachukua atua gan mtandao usika ?
2026-09-01 16:33:00
3
twalib259
Twalib :
Mix hao
2026-09-01 16:21:37
3
deus6967
deus :
Mm moja wap
2026-09-01 17:10:57
1
soudy17
Eng soudy :
Halotel
2026-09-01 16:34:00
2
king_godden_
G_win106 :
Yas🙌🙌🙌
2026-09-01 15:31:20
3
godfather2135
GODFATHER :
Wale wa vodacom mko wap
2026-09-01 19:05:49
3
chef.hyune
chef Hyune♉️ :
unamaanisha nyimbo ya mboso kweli au😂😂
2026-09-01 17:30:52
2
yohana.juma072
Joan :
Yasinta ndo anahiii tabia
2026-09-01 17:25:02
1
yullaz.duke
Yullaz Duke :
Halotel hai
2026-09-01 15:33:51
2
jonas.12.01
Jonas :
haloteli wanakomba zote mpaka alize kabando
2026-09-01 17:03:15
2
i_panther99
panther :
unawez kumaliz zote weka fligt mode alaf toa connection inaendlea mpk nabakiza kb
2026-09-01 18:35:08
1
theteacher842
theteacher :
yas na halotel
2026-09-02 02:06:41
0
clemence..philipo
@mwaipungu :
airtel wana hii shida hata mb zikiwa 100
2026-09-01 15:42:50
2
vandaud3
I am_Yakub 🤙 :
Me airtel zikibaki mb 200+ basi hakuna kitu nafanya 😂😂
2026-09-02 12:12:50
0
mohamedpanda32
mohamedpanda.37 :
eartel ikifika 200 kwesha kaz
2026-09-02 09:27:27
0
user698339674177
user698339674177 :
huwezi kuinganishwa
2026-09-01 17:52:46
1
aboubakarsawe
💕👁️Tᕼ3 ᒪᗩᔕT ᗰIᑎᑌT3👁️💕 :
Wa unlimited tujuane...
2026-09-02 22:25:59
0
To see more videos from user @techtopia__, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About