mm naumwa kichwa nikiswal nimesmama najiskia vibaya nguvu Sina presha ipo juu vp kuswali huku nimekaa inaswihi tafadhali nijibu shekh🙏
2026-09-01 17:56:39
3
Abuu nassir (mujahidina) :
shekh uko vizuri maashaallah lakin sasa mbona unapiga picha na picha haram
2026-09-02 11:23:31
0
kiss.beauty collection 🥰 :
waaleykum msalam warahmatullah wabarakatuh
2026-09-01 21:28:25
2
Miss shaa🫣 :
swala yangu ilikua inamakosa mengi Mwenyezi MUNGU anisamehe🤲
2026-09-01 18:19:38
4
Milanzi+255 :
Mimi nataka uniambie saa saba unaswali mara ngapi na saa kumi mara ngapi na saa kumi na mbili mara ngapi
2026-09-02 05:15:16
0
Dima Ali :
shukiran jazakum Allah
2026-09-01 18:04:23
2
_b_o_r_n_a_y_a_h_ :
nna swali, Katika Qiyam baada ya Takbir, pale Imam anapo soma sura ndefu, kwa mfano kama vile tarweh, je mimi kama Maamuma naeza leta uradi kimoyomoyo ima isthighfar au kumswalia Mtume (saw) au uradi wowote ule mwengine, badala
ya kunyamaza manake wakti mwingine imam ywaeza vura hio sura ujikute akili umeanza kulose focus 🤦🏽♂️
Sheikh naomba kuuliza kwani ni lazima kunyoosha kidole katika tashahud? Na pia mfano kwa sisi wanawake tunaoswali nyumbani je tunatakiwa kuqim swala kabla ya kuswali wenyewe?Na pia ukiwa unaswali mwenyewe je unatakiwa kuwa unasema Allah akbar samiallah limanhida allah akbar kama imamu anavyokuwa anasoma??
2026-09-01 20:39:09
0
Marym Jamaa :
mashaallah Allah akulipe kher jee mtu ukiwa Kwa hezi waeza soma Quran
2026-09-01 21:30:24
1
Ai ha xaid :
Shukurani sana shekhe
2026-09-01 17:37:02
1
zuuh🦋 :
mwenyezi mung akupe maisha malefu amiin
2026-09-01 21:04:23
2
Fatuma Abdala :
shukuran shey kwa mafuz mwem allah akufanyie wepes
2026-09-01 20:01:09
1
Mariam Mussa :
shukrani Allah akupe afya njema
2026-09-01 18:15:23
1
Aysha Jefa :
waaleykum msalam warahmatullah wsbarakatu
2026-09-01 20:15:03
1
hadija :
jazakallah
2026-09-01 17:09:09
1
R🅰️JYNUⓂ️Z GRAMⓂ️Y👳 :
mungu akubariki
2026-09-02 19:57:28
0
kisutz0 :
tufunz
2026-09-02 19:08:05
0
bandabakari :
N je nimekumbuka ata skukumbushwa nia yangu ilikuwa kurukuu but sjui nnapatwa n nn unfortunately nkajipata kwa sijda
2026-09-02 18:54:38
0
bandabakari :
Angalia Leo lkwa naswali nkapta mtihni lkwa nshasoma fatha nkasoma surah asr so wakti lkwa nasongea mbele mna lkwa Kuna watu nawaswalisha kusema takbira y kurukuu badala n rukuu n kaenda direct kusujudu then nakumbuka me mwenyewe kuwa nlifaa kurukuu so nkarudi juu n nkaruu n nkaitdal Yani ful rakaa alfu mwisho nkafanya sijda tu sahwi ma hukmu yake n gani
2026-09-02 18:53:47
0
mahirykhan :
xhukullan
2026-09-02 19:15:45
0
To see more videos from user @al.akhi.naasir7, please go to the Tikwm
homepage.