@vdashmining: #creatorsearchinsights #factattackadventures Fursa ya kuchimba dhahabu Geita Magenge

Vdashjo Investment Co.Ltd
Vdashjo Investment Co.Ltd
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 15:41:11 GMT
4390
202
15
7

Music

Download

Comments

macmugger
Macmugger :
Unaweza kufanya mchanganuo wa makadirio ya kuchimba na kumiliki karasha kipindi cha masika
2026-09-03 11:15:52
0
brightonmakoye
mcolombia miner. :
tafuteni mtanji wakutosha japo nikazi kupatahuo mutaj ukimwambia mwenye pesa awekenzehapo anaona kama unataka kumutapeli mwenye mutanji huwaga anakuja wakat umefanimisha
2026-09-02 08:52:05
0
hsiraji
SIRAJI🤍 :
vipi ukiamua kuchimba open ya atleast meter 50x50?
2026-09-01 17:56:56
0
markkkyalo
Wakili Mark Kyalo :
Nauliza, cost ya excavator kufanya hiyo kazi ni ngapi?
2026-09-01 15:55:46
0
feellux
Smart Trade Forums :
Kaka toa namba hiyo hapo kwenye whatspp haifunguki
2026-09-03 02:54:18
0
fmhando
Frank DM :
Mawazo ya caravan hata mimi niliwaza hayo ile jana, uko sahihi
2026-09-01 18:25:30
0
To see more videos from user @vdashmining, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About