@godfreynkungudaff: Ila huyu Bibi ipo siku takuja kumpiga mawe😂😂

Mjukuu wa Bibi
Mjukuu wa Bibi
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 15:43:06 GMT
56828
5000
295
139

Music

Download

Comments

fifydecute1
Fifydecute♥️🌸 :
Bora bibi kasema🤣🤣 au nimtaje
2026-09-01 16:01:21
44
razia.yusufu
women of principles :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila bibi anampenda huyu kaka wallah arafu anamshika kwa upendo wa Hali ya juu sana
2026-09-01 16:31:05
30
lady3639
Madam :
bibi mpeeeeeeeeeee
2026-09-02 04:39:24
0
tynafashionover
Tyna 🇹🇿🇨🇩 :
Asnte sana Bibi kwa taarifa 😂😂
2026-09-01 15:55:17
17
stellakaaya48
Ruby star_shining :
kaka msalimie bibi mwambie nampenda
2026-09-02 07:18:13
1
blancotz1
blancotz1 :
Bibi anakudanga ebu mpe ela hapo😅😅😅
2026-09-02 07:26:10
1
user9967775733745
Stella :
bibi yupo mbele ya muda 😂😂ila taarifa zimefikaa😂😂,bib shikamoo
2026-09-02 05:19:20
6
sangalove
Sangalove :
Kuanzia leo nipo single basi😂
2026-09-01 18:14:29
8
luckylipsb
luckylipsb :
Udumia bibi anakuambia ukweli
2026-09-02 06:53:15
1
dada.mkubwa81
DADA MKUBWA💞💞🇹🇿 :
huo ukweli mchungu😂😂😂
2026-09-01 17:22:55
5
amin.hamis0
Amin Hamis :
tunakupeda sana bibi huwa unasema ukweli tu mungu akutunze bibi wa taifa
2026-09-01 17:03:19
10
kisport
Kispo😍 :
Nipeleke kwa fundi wa bibi
2026-09-01 17:31:52
5
0796581182qeen
DR.QUEEN HEALTH SOLUTION. :
Kesi Imefika Mahakama kuu😂😂
2026-09-01 16:24:10
8
madamboss171
madam boss :
kaka naomba na mm awe bibi yangu nampenda sana
2026-09-01 18:22:57
5
rameenzx
rameen :
bibi a akujua maana kipenz chake anajua kabisaaa tabia zako nimecheka sanaaaa ila bibi anakupenda sanaa ona anavyo kwambia ukweli ahahahahaaaa
2026-09-01 17:10:57
6
user6373853634718
Ndayishimiejesca :
Bibi umefikisha ujumbe😃
2026-09-01 23:03:32
2
mangi.martha3
mangi martha :
miss u bibi
2026-09-01 23:58:34
1
neyg015
neyG :
asanteh bibi kwa kutusaidia😂😂😂
2026-09-02 03:58:47
3
marykasinge
Mazzymwasi :
Nammiss bibi angu alikua ananipenda tena upendo wa hali ya juu alikua ataki aone ninamaumuvu
2026-09-02 07:05:19
1
wardahsemboja
wardahsemboja :
bibi anajua kutusemea vzur tunakupenda 😘
2026-09-02 06:41:36
2
colletha03
Nicoletz🇹🇿 :
🤣🤣🤣🤣🙌 hudumiaa 🤣🤣🤣🤣
2026-09-01 17:55:26
4
salamatoshi
Salama toshi💦💐 :
bibi anatoboa siri sasa ya mjukuu wake😂😂😂
2026-09-02 05:15:12
2
beatrice.japhet6
BEATRICE JAPHET :
wajukuu wa mtoto wa kike huwa wanapendwa sana
2026-09-02 05:14:30
3
To see more videos from user @godfreynkungudaff, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About