@hubofwisdom.inc: "Ni hiari, ndio maana aliyeanzisha ndoa mwenyewe hakuoa. Kwa mantiki hiyo kumbe ndoa sio kila kitu kwenye maisha yetu, ingawa jamii inasukuma lakini ndoa sio lazima." Anasema Pr. John Peter "Lakini ukishasema 'mimi sioi.' basi na kunanilii pia usinanilii. Kwasbabu kinachotofautisha mahusiano ya ndoa na mahusiano mengine yote ni kunanilii." Una maoni gani kuhusu hoja ya Pastor Peter John? Tunathamini maoni yako. Fuatilia somo hili kisha tuandikie kwenye comments section @hubofwisdom.inc : Umewahi kupitia changamoto gani baada ya kuanza kuinuka maishani? au tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 kujiunga na mijadala katika kundi letu la WhatsApp au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media ....................................................................... #PrPeterJohn #Mahusiano #Ndoa #Love #Wisdom #LifeTalks #Tanzania #PrPeterJohn #Ndoa #TendoLaNdoa #Imani #Uumbaji #MafundishoYaNdoa #ElimuYaNdoa #Sex #Maisha #Mafundisho #ShuhudaZaKutisha #MchKimaro #Motivation #LifeLessons #HekimaYaMaisha #Motivation #Faith #Tanzania #Kenya #Uganda #Rwanda #Burundi #YouTubeTanzania #Semina #Mahubiri