@huhesofmradio: USIMSAJILIE MTU LAINI KWA NIDA YAKO Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali ametoa wito kwa wananchi kujiepusha na kuwasajilia laini za za simu watu wengine kwa kutumia vitambulisho vyao vya taifa(NIDA) akionya kuwa anayesajiliwa akifanya uhalifu au utapeli atakamatwa aliyesajili. Msigwa ametoa kauli hiyo leo Septemba 1, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Dae es Salaam huku akisema serikali ipo makini juu ya wanaofanyawizi na utapeli mtandaoni. "Usikubali kutoa kitambulisho chako cha NIDA ukampatia mtu akasajili namba ya simu kwa ajili ya kuitumia kwa sababu namba hiyo itaandikwa jina lako akienda kufanya uhalifu, utapeli utakayewajibika ni wewe mwenye kitambulisho cha NIDA" amesema Msigwa

Huheso Fm radio
Huheso Fm radio
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 15:53:42 GMT
172364
5183
186
537

Music

Download

Comments

mashenenejr7
Mashenenejr :
Tengenezeni system ya ku recognise fingerprints ukiingiza jina na finger prints zisisomane
2026-09-03 08:43:05
0
user34808031154324
isabell l mboya :
kama mimi nimesalili laini tarehe 29 mwezi wa tisa nawawwasi maana aliniambia niweke vidole zaidi ya mara kumi
2026-09-02 06:12:01
11
japhethjoseph8
Japheth Joseph :
muwaambie na mawakala wanaojitahid kuiba nida za watu ili kusajilia watu wengine yaan wakal na akil zake anamwambia mtu aweke kidole kumb hicho kidole ameiba kwaajili ya kusajilia lain nyingine akisajiri anamuuzia mtu
2026-09-02 09:56:11
3
masaitzd
YOHANA TZD :
moja apo mimi kaka duuu sijui ni ende wapi mana nime wa sajilia adi exi wagu 🤦‍♂️
2026-09-02 02:42:54
5
kingmu616
Kingmu616 Solutions :
shida ni wasajili laini ndio wana dable laini😂
2026-09-02 13:59:41
1
user8723655706735
msiziloofficial :
wanaotusajiria ndio wanao wasajiria arafu wanaofanya kazi ndio wezi
2026-09-02 10:09:05
1
showalex830
showalex :
SHIDA KUBWA MHESHIMIWA HAO MAWAKALA UNAWEKA KIDOLE MARA TATU AU NNE WANASEMA HAKISOMI KUMBE KINASOMA WANACHKUA LAINI WANAUZA HIYO INAUMIZA SANA
2026-09-02 06:56:00
3
ellie.entasa
Elly Entasa** :
wekeni mfumo mzuli wa watu kupata nida kama kuwafikia watu mitaani wengine tumesota sana kuzipata hizo nida mpaka saiv kisa hao wafanya kazi wenu wanajiona sana
2026-09-02 15:39:00
4
roseymarymabele
Roseymary Mabele :
yni sipendi kusajiri rain nyigi kwasababu unaposajiri msajiri rain anakwambia rudia kumbe anataka akamuuzie mtu mwigne kwajina langu wasajiri rain wamtaani acheni tabiahizo,
2026-09-03 14:52:24
1
phili_furniture
Phili furniture :
wasajili laini wengi nansajili marambili
2026-09-02 19:58:04
0
charsmtuss
TATHIMIN🌹 :
mimi nimewasajilia mpaka namba nafas zimeisha🤣🤣🤣
2026-09-02 12:32:57
0
ediga.you
EDIGA YOU🧎‍♂️ :
Wafate nida ili mawakala tupate ajila ya kudumu 😂😂
2026-09-02 12:15:23
4
rayking084
RAY JR🥷🥷 :
hapo Sasa ndo muongee na mawakala make wanaiba rain 🤔🤔🤔
2026-09-02 08:32:21
0
ezekiel.kaminyoge8
EZEKIEL KAMINYOGE :
lakini simu zinaibiwa sana na kupatikana ishu
2026-09-02 03:41:15
4
user195623957542
frank isamba :
kwann mstoe nida kama mnavotoa vitambulisho vya mpiga kula
2026-09-02 19:26:14
2
omali83340
omali pagi :
toweni NIDA sasa mweshimiwa
2026-09-01 20:44:49
2
ezzeamos
Ezze Amos :
ndo siasa zetu jaman tuzoee tu
2026-09-02 08:22:50
2
viwanjagezaulole8
VIWANJA GEZAULOLE :
MKUU IZI NIDA MUNGETUSAIDIA KUZIPATA KWENYE OFISI ZA SERIKALI YAMTAA TUNGEWASHUKURU SANA PIA MUSIWEKE MASHARTI MENGI SANA:
2026-09-02 06:10:41
3
hildakadunda
Hilda Augustino Kadunda :
kweli kabisa
2026-09-01 18:03:54
2
skpskp780
Skp Skp :
umekosa blandi yakuongea siuwambie serikali iwasimamiewananchi wapate nida,weekwasababu unacho ndomana unasemahivyo
2026-09-03 12:25:19
1
ahlam.kilema8
Ahlam Kilema :
mm nimewasajilia ..nachoka mm
2026-09-02 09:40:20
1
user7795205573261
MAPESA BOY :
Koo ambao hatuna nida tunapateje mawasiliano
2026-09-02 09:21:10
0
user30304227557213
Sophia eliasi :
sawa
2026-09-04 13:14:00
0
nassorom
mudrick :
vitambulisho au hizo nida mnachelewesha na utaratibu wake ni mgum na huku mtaan watu wanahitaji matumizi ya lain na sim....boreshen huduma ili mambo yasiwe mengi
2026-09-04 10:59:05
0
chimoo665
chimoo :
usinipangie kwenye nida Yang muone kijuso
2026-09-04 09:59:18
0
To see more videos from user @huhesofmradio, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About