Mimi ni mwl hiii kitu nimeiona kabisaaa kazini🙌🙌🙌🙌
2026-09-01 17:08:19
574
EDM😜 :
HEHEH SIJUI WALKUA WANAJIONAGA WAKINA NANI. 😅😅😅
2026-09-08 06:01:06
0
Baby🥰siima :
Mama philipo dera moja jamn🤣🤣🤣🤣 I have a car😅 i have husband🤣
2026-09-06 20:48:05
0
TIKTOK WARNING ⚠️ :
mwl wa history
2026-09-07 09:56:59
0
Farshana🎀 :
Aiseee umempatia madam wangu wa civics o..level 🤣🤣🤣
2026-09-07 17:53:27
1
IT'S BIMBO_OKAFOR💜🌸 :
kila darasa nlilosoma tuliambiwa yote aya😂😂
2026-09-01 18:13:52
443
Dully :
Trauma dump😩🤣🤣
2026-09-07 18:52:49
0
Cee🦋 :
Kwann SUA lkn 😂😂
2026-09-05 10:26:44
12
Secily :
hasira za nini sasa una mshahara😂😂😂
2026-09-01 16:05:18
308
Hillary jr :
Trueeee😁😁
2026-09-07 18:36:32
0
husna James :
Msome msisome mi sijali,Kila mwezi nachukua mshahara wangu
2026-09-05 17:29:45
64
nancy tz😍😍 :
umejuaje wakati nipo lasaba 2020
2026-09-01 16:41:16
60
Jihan Miss grand Tanzania 2026 :
😂😂😂😂Sua kuna course ya ualimu kumbe
2026-09-07 20:48:36
9
Balozi Middleasis :
@Balozi Middleasis:Nawapenda wote!🥰 ila wewe Dada unae soma hii comment nakupenda zaidi.❤️Je na wewe unanipenda mpenzi wangu 😋📌
2026-09-02 07:41:23
34
Deer🧸🎀🌸 :
Sisi wetu alikuwa anauza ice-cream usiponunua anakulazimishaa na mdomo juu alikuwa wa Kiswahili🥲😂😂😂😂
2026-09-01 17:44:56
54
KAMANTU💍🔐❤️ :
😂😂😂tabia za mwalimu wetu kbs izi
2026-09-01 16:16:26
36
KENNEDY BOY :
ety nimesoma pale SUA 😂😂😂🤣🤣.
2026-09-01 17:37:44
16
Rishma 777🌟 :
I have a car mbona unauza bagiaa 🤣🤣🤣🤣😂😂
2026-09-01 16:22:25
8
merisa💖 :
😂😂😂
2026-09-01 16:16:34
6
Helenito :
Mume Mwenyewe baba Filipo au😳 meeeooo
2026-09-01 17:36:35
9
Arapha Manda :
umenikumbusha mbali mwl wetu wa literature alituambia kwanza ni shepu pia ninapokea laki tano na Bado miezi kidogo mshahara unapanda Sasa kaingia mjomba Magufuri madarakani kawekwa pembeni na cheti chake feki Kuna siku nikakutana nae nikamsalimia nikamkumbusha Mimi Fulani akasema hanijui mana hajawahi kuwa mwl aibu nikaona mimi
2026-09-01 19:12:10
36
deltinah :
sua na kiswahili tena wap na wap
2026-09-05 07:55:02
18
empriceyamo1 :
🤣🤣🤣🤣 sina cha kupoteza
2026-09-01 16:04:48
9
To see more videos from user @mamatanzania1, please go to the Tikwm
homepage.